Polish leader, 96 others dead in Russia jet crash

Maria Roza

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
6,797
1,567
SMOLENSK, Russia – An aging Russian airliner carrying Polish President Lech Kaczynski and members of his country's military, political and church elites crashed in thick fog Saturday as it took them to a ceremony marking the 70th anniversary of the slaughter of thousands of Polish military officers by Soviet secret police.
Poles wept before their televisions, lowered flags to half-staff and taped black ribbons in their windows after hearing that the upper echelons of the establishment lay dead in woods a short drive from the site of the Katyn forest massacre, one of Poland's greatest national traumas.
Thousands of people, many in tears, placed candles and flowers at the presidential palace in central Warsaw. Many called the crash Poland's worst disaster since World War II.
Twenty monks rang the Zygmunt bell at Krakow's Wawel Cathedral — the burial spot of Polish kings — a tolling reserved for times of profound importance or grief.
The crash also shocked Russia. Sensing the depth of the tragedy for Poland, Prime Minister Vladimir Putin personally took charge of the investigation and very quickly and publicly offered condolences, along with Russian President Dmitry Medvedev.


Zaidi soma
http://news.yahoo.com/s/ap/20100410/ap_on_re_eu/eu_russia_plane_crash
 
Polish President killed in air crash

crash2_682_1022186a.jpg

loading.gif

Horror ... rescue services at plane crash site

THE Polish President Lech Kaczynski has been killed along with 95 others when his plane crashed while coming in to land in western Russia.

The governor of the Smolensk region, where the crash took place on Saturday morning said no one had survived.
Sergei Anufriev told state news channel Rossiya-24 the plane had crashed after hitting trees.
He said: "The Polish presidential plane did not make it to the runway while landing.
"It hit the treetops and fell apart, nobody has survived the disaster."

crash1_180_1022228a.jpg
Tragic ... Lech Kaczynski


In a message of condolence, the Queen described her "sorrow" and sent her "deepest sympathy" to the government and the people of Poland.
The Prince of Wales also expressed his sadness, along with Prime Minister Gordon Brown, Foreign Secretary David Miliband and Tory leader David Cameron.
Dozens of senior figures from the Polish government and military as well as the President's wife Maria also perished in the crash.
Russian Prime Minister Vladimir Putin, who personally assumed charge of the investigation, was due to meet Polish Prime Minister Donald Tusk later.
A week of national mourning was declared and Mr Tusk called for a two-minute silence to be held on Sunday.
Poland has declared a week of national mourning today to mark the disaster.

crowds_682_1022247a.jpg
Mourning ... huge crowds outside Presidential palace in Poland

The president and his party were visiting Smolensk to mark the 70th anniversary of the massacre of thousands of Polish officers by Soviet secret police.
Reports say pilot error is suspected to be the reason why the plane crashed in thick fog while approaching an airport in the western Russian region.
The body of Mr Kaczynski was recovered from the wreckage by emergency workers hours after the crash.
Poland's Foreign Ministry spokesman, Piotr Paszkowski, said: "We still cannot fully understand the scope of this tragedy and what it means for us in the future. Nothing like this has ever happened in Poland,"
"We can assume with great certainty that all persons on board have been killed."
A Polish government spokesman today announced that Poland will be holding an early presidential election after the crash
Pawel Gras said: "In line with the constitution, we will have to hold an early presidential poll,"
"For now, the speaker of the lower house of parliament, Bronislaw Komorowski, is automatically ... the acting president."
The election date must be announced within two weeks and the election must take place within two months of the announcement.
In a formal statement released by Downing Street today Gordon Brown said: "President Kaczynski was one of the defining actors in Poland's modern political history.
"From his role in the Solidarity movement to his long and distinguished career in public service - including as Justice Minister, Mayor of Warsaw, and most recently as President of Poland - he will mourned across the world and remembered as a passionate patriot and democrat.
"My thoughts are with his family and countrymen at this most difficult of times."
The crash is likely to be a setback in Polish-Russian relations, which had been improving of late after being poisoned for decades over the Katyn massacre.
Russia never has formally apologised for the murders of some 22,000 Polish officers, but Prime Minister Vladimir Putin's decision to attend a memorial ceremony earlier this week in the forest near Katyn was seen as a gesture of goodwill toward reconciliation.
Advertisement

p-e4m3Yko6bFYVc.gif


Rossiya-24 showed hundreds of people around the Katyn monument, many holding Polish flags, some weeping.
In Warsaw the national flag was lowered to half-staff at the presidential palace, where people gathered to lay flowers and light candles.
Black ribbons appeared in some windows in the Polish capital.
Poland's president is commander-in-chief of its armed forces but the position's, domestic duties are chiefly symbolic.



Read more: http://www.thesun.co.uk/sol/homepag...ir-crash.html?OTC-RSS&ATTR=News#ixzz0kjGiFKCW
 
President of Mozambique, 1986
: Mozambican President Samora Machel was 53 years old when his plane strayed over the South African border and crashed, killing him and 33 others on board. Machel was returning from a Zambian summit meeting of so-called frontline black African states when his Soviet-made Tupolev 134-B hit treetops and cartwheeled down a rainswept hillside, just 600 ft. inside South Africa. There were violent thunderstorms in the area, and visibility was poor. The Soviet pilot thought he was descending at the airport of Mozambique capital Maputo, when in fact the airport was still 45 miles off.

...heri yetu tusionunua hizo Tupolev kwa marais wetu. Hawa warusi hawapo makini na CVFR, na IFR. Tuziache huko huko Air force 'wajifue' nazo!
 
don be a prick, tupolev 153 is among the plane with highest safety standard, in all occasion the tupolev 153 has crashed had been due to severe bad weather, for your information tupolev 153 is the most versatile plane designed to work under harsh condition than any other plane in the world, more than 900 units had been built and with the ratio of the number built to those that had crashed it is the safest plane on earth than even the famous boeing 737!

human being inevitably die!
 
don be a prick, tupolev 153 is among the plane with highest safety standard, in all occasion the tupolev 153 has crashed had been due to severe bad weather, for your information tupolev 153 is the most versatile plane designed to work under harsh condition than any other plane in the world, more than 900 units had been built and with the ratio of the number built to those that had crashed it is the safest plane on earth than even the famous boeing 737!

human being inevitably die!

...thanks for your 'clarification.'
 


...heri yetu tusionunua hizo Tupolev kwa marais wetu. Hawa warusi hawapo makini na CVFR, na IFR. Tuziache huko huko Air force 'wajifue' nazo!

Mbu, muwe mnajaribu kusoma kwanza kabla ya kuanza kutoa comment. Ni kweli kuwa Tupolov ni ndege za zamani sana na hata Warusi kwa sasa hawazitumii. Hii ndege ilikuwa iwe imashaachwa kutumika siku nyingi. Miaka kadhaa iliyopita, helcopiter ilianguka na ndani alikuwemo Waziri Mkuu Leszek Miller ila jamaa alikuwa na bahati akapona ingawa aliumia saana. Hii ndege haikuwa na matatizo kabisa ila hali ya hewa ilikuwa mbaya na maamuzi mabaya ya Pilot. Jamaa aliambiwa hali ya hewa ni mbaya na ukungu mkali umetanda. Jamaa alijaribu kutua na akaamua kuinyenyua ndege juu. Bawa liligonga miti na ndege ikawaka moto.

Bona, umelielezea hili safi sana. Poland kuna tatizo moja kubwa sana. Kununua ndege ya Rais kutahitaji hela nyingi sana. Na hilo hakuna kiongozi anataka kulifanya kwani itabidi abebe lawama yote ya kununua ndege kwa hela nyingi (ila salama) ya mtu mmoja (Rais). Wamekuwa wakilikimbia hili kwa miaka mingi. Ila sasa naona hawana ujanja. Itabidi tu wanunue.

Huyu Mama, mke wa Rais amenisikitisha sana. Mumewe alipochaguliwa, aliendelea kuishi maisha ya kawaida kabisa. Kuna siku nimeingia dukani, namuona na yeye na walinzi wake wako busy wanachukua vyakula kabla ya kulipia. Nikajichukulia mahitaji yangu na nimesimama kwenye foleni ili nilipe, akaja akasimama nyuma yangu. Sikufahamu nimpishe au niendelee. Ila nikaona kama hao Walinzi wake wangeliniona mie si salama, wangenibeba zamani sana. Hiyo ilikuwa mara ya mwisho kumuona LIVE. Baadaye walihamia kwenye Jumba la Rais ambalo nitaweka picha zake kwenye habari katika picha.
 
don be a prick, tupolev 153 is among the plane with highest safety standard, in all occasion the tupolev 153 has crashed had been due to severe bad weather, for your information tupolev 153 is the most versatile plane designed to work under harsh condition than any other plane in the world, more than 900 units had been built and with the ratio of the number built to those that had crashed it is the safest plane on earth than even the famous boeing 737!

human being inevitably die!

Sawa ndege ilikuwa built imara lakini kuna factors nyingi zinazo weza athiri ubora wa kitu.
1)Umri: Kitu chochote jinsi kinavyo zeeka ndivyo kinavyo zidi kuchoka na hii ni kuanzia binadamu mpaka vitu vya kutengenezwa.
2)Utunzaji: Sawa ndege ni imara lakini utunzwaji wake uli kuaje?

Mfano: 60% ya Land Rover ambazo zimewahi kutengenezwa bado zipo barabarani. Wewe nunua Land Rover ya zamani iliyo kuwa na utunzwaji mbovu halafu ona matokeo yake.
 
Ana share katika kampuni husika mkuu. Umetouch biashara yake hehehe.

Usilete mzaha kwenye kifo cha wenzako. Kumbuka hawa watu kwa sasa familia zao zinawalilia kwa uchungu sana. Umeambiwa hizo ndege hazitengenezwi tena na wewe unaleta habari za kugusa biashara ya watu? Biashara gani hiyo? Kuuza spair patry za ndege? Hizo party zenyewe walikuwa na matatizo ya kuzipata na kama sikosei nyingi walikuwa wakijitengenezea wenyewe.
Sawa ndege ilikuwa built imara lakini kuna factors nyingi zinazo weza athiri ubora wa kitu.
1)Umri: Kitu chochote jinsi kinavyo zeeka ndivyo kinavyo zidi kuchoka na hii ni kuanzia binadamu mpaka vitu vya kutengenezwa.
2)Utunzaji: Sawa ndege ni imara lakini utunzwaji wake uli kuaje?

Mfano: 60% ya Land Rover ambazo zimewahi kutengenezwa bado zipo barabarani. Wewe nunua Land Rover ya zamani iliyo kuwa na utunzwaji mbovu halafu ona matokeo yake.

Kama waliweza kununua used F16 na kuziboresha, itakuwa hiyo ndege ya Tupolev? Kumbuka Poland ni nchi moja iliyokua juu sana kwenye mambo ya viwanda kwa kuwa watengenezaji wa silaha, meli, helcopiter nk. Juzi tu wameanzisha kiwanda cha kutengeneza Black Hawk baada kupata kibali kutoka kwenye kiwanda cha Sikorski Helcopiter. Hadi leo, kuna vitu vingi sana vya kijeshi kwa ajili ya jeshi la USA na Izrael, India nk , wanatengenezea Poland.

Ila nakubaliana na wewe kuwa walikuwa wanatakiwa kununua ndege mpya kwani hiyo ilikuwa imezeeka. Pamoja na kuzeeka, bado ilikuwa inadunda safi sana. Kusema ukweli, sijui ni asilimia ngapi ya ile ndege ilikuwa ni Original party na asilimia ngapi ilikuwa imebadilishwa. Nashindwa kuamini kuwa ni makosa ya Pilot kwani hawa jamaa wanaowaendesha viongozi, wote ni ma-Pilot wa jeshi walio na uzoefu mkubwa kwenye ndege za vita.
Labda ni kweli kuwa ukungu ulisababisha na kujiamini kwa Pilot kuwa ataweza kuiweka mashine ardhini. Sidhani kama tutaufahamu ukweli hivi karibuni. Ila ukweli ni kuwa, waliaanza kutangaza kuwa ndege ina matatizo ya kutua. Warusi wakawaambiwa, kuna ukungu mkubwa sana pale uwanjani na hivyo waende sehemu nyingine. Haijulikani kwa nini Pilot alikataa wakati alikuwa na mafuta ya kutosha. Labda kuna ubabe ulitembezwa kuwa jamaa lazima atuwe. Huyu Rais alikuwa Mbabe sana. Wengine watakumbuka kuwa wakati wa vita ya Georgia na Urusi miaka kama miwili iliyopita, aliamua kwenda huko na kujipeleka Front line. Walimshambulia sana kwa kitendo hicho kwani angeliweza kuuawa muda wowote kwa bahati mbaya. Ila upande mwingine, Rais inabidi awe ni mtu anayejiamini na labda hiyo ndiyo ilimfanya hadi awe Rais.
 
Bora our Dear great leader Kim jong il (DPRK), never travels with planes he rides in train , poor Pres Kaczynski RIP.
 
Mbu, muwe mnajaribu kusoma kwanza kabla ya kuanza kutoa comment. Ni kweli kuwa Tupolov ni ndege za zamani sana na hata Warusi kwa sasa hawazitumii. Hii ndege ilikuwa iwe imashaachwa kutumika siku nyingi. Miaka kadhaa iliyopita, ...

...SSAMBALI, emotions zikichukua nafasi za reality matokeo yake ni kama hayo uliyoyaandika. Iwapo unakubaliana nami hizo ndege zingeshaachwa kutumika zamani sana, iweje sasa unanilalamikia nisome kabla ya ku comment? Poland kilichowashinda kununua ndege mpya ya kisasa ni kutokana na ukosefu wa fedha.

Ndio maana kwenye Post yangu ya awali niligusia CVFR na IFR kwa hao warusi, na nikatolea mfano wa Warusi hao na Ndege ya Samora. Pilot error (weather related) katika miaka hii 2000s takwimu inaonyesha ni 17% tu compared na Total pilot error ambazo ni 43%! Kwa mifano hii miwili ya ndege aina ya Tupolev (Kwa viongozi hawa wawili -Samora na Kaczynski ), zimejionyesha kuwa ni ndege more likely to cause a pilot to make an error due to the complexity of operation or likelihood of a system giving false information, or problems to a pilot.

Its all about minimizing risks.
 
Si jambo la busara kwa viongozi wakuu wote wa nchi katika kada zote kusafiri kwa chombo kimoja cha usafiri
 
...SSAMBALI, emotions zikichukua nafasi za reality matokeo yake ni kama hayo uliyoyaandika. Iwapo unakubaliana nami hizo ndege zingeshaachwa kutumika zamani sana, iweje sasa unanilalamikia nisome kabla ya ku comment? Poland kilichowashinda kununua ndege mpya ya kisasa ni kutokana na ukosefu wa fedha.

Ndio maana kwenye Post yangu ya awali niligusia CVFR na IFR kwa hao warusi, na nikatolea mfano wa Warusi hao na Ndege ya Samora. Pilot error (weather related) katika miaka hii 2000s takwimu inaonyesha ni 17% tu compared na Total pilot error ambazo ni 43%! Kwa mifano hii miwili ya ndege aina ya Tupolev (Kwa viongozi hawa wawili -Samora na Kaczynski ), zimejionyesha kuwa ni ndege more likely to cause a pilot to make an error due to the complexity of operation or likelihood of a system giving false information, or problems to a pilot.

Its all about minimizing risks.

Nilichosema mie ni kuwa hii ndege haikuanguka kwa ubovu. Wachunguzi wote wanasema sasa wazi kabisa kuwa ndege ilikuwa nzima. Sasa unavyozidi kusema kuwa ubovu wa ndege au uzee wa ndege nashindwa kukuelewa. Nimeandika tu kuwa ndege ilikuwa ya imerudi kutoka kwenye matengenezo makubwa sana huko Russia. Walikuwa wameweka vifaa vingi vipya na technology mpya inayotumika kwa sasa duniani kwa chombo kinachobeba viongozi wa serikali. Uzee wa ndege (kweli ilikuwa imezeeka) haukusababisha ndege ianguke ila ni ukungu na makosa ya kibinadamu. Waandishi wa habari wamekiri kuwa kutokununua ndege mpya, na wao wamechangia sana. Kama mtu alianza tu kusema kununua ndege, walimla mzima mzima. Sasa angelinunua cha moto angelikiona.

Sasa hivi hapa Poland, kuna majungu yanasema kuwa Rubani alilazimishwa kutua. Kuna kesi kadhaa zilishawahi kutokea huko nyuma kwa Marehemu Rais kulazimisha ndege kutua. Kuna rubani alimgomea na akaenda kutua sehemu nyingine na jamaa alipata kashkash. Aliambiwa na Rais kuwa Mwanajeshi huwezi ukawa Kunguru namna hiyo, inabidi uwe jasiri.

Kitu kibaya na kizuri kwa Poland ni kuwa, Marubani wote ni Wanajeshi. Uzuri ni kwa sababu, hawa marubani wa jeshi ni wazuri sana na wamefanya mazoezi na kuendesha ndege za kivita ambazo huwa ni ngumu zaidi ya hizi za kiraia. Ubaya uliopo ni kuwa, wanapokuwa na Rais ambaye ni amiri jeshi, Mageneral na nyota zao mabegani, inabidi watii amri. Kama ulipitia jeshini utakuwa unalifahamu hili. Kama hukupitia JKT, basi sidhani kama utakuwa unaelewa mie naongelea nini.

Hapa chini naweka Video za youtube ambazo jamaa wameonyesha hali ilivyokuwa (simulation).
1. Video ya kwanza ni katika lugha ya Kipolish. Wanasema kuwa Ndege iliondoka Warsaw kwenda Smolensk. Dakika 10 kabla ya kutua, rubani aliambiwa na control tower kuwa kuna ukungu mkubwa sana uwanjani. Marubani walirudia mara kadhaa kuwa wanataka kutua hapo. Ndege ilizunguka uwanja mara 3 ili kuweza kufahamu hali halisi ilivyo hapo Uwanjani na kuweka kwenye kumbukumbu Auto-pilot. Kila kitu kilienda sawa hadi wakati wanakuja mara ya nne, wakiwa umbali wa mita 1,500, ndege ilipunguza sana urefu (height) na ikaja ikagonga antena ya control tower, baadaye miti na mwisho......... Ilitosha wangelikuwa mita 10 juu, wasingelianguka. Angalia Video:



2. Ni video ambayo maneno yake yameandikwa kwa Kirusi na mie Kirusi sikielewi. Labda naweza kufahamu maneno mawili matatu tu.

 
Last edited by a moderator:
Naangalia Mazishi kwa sasa. Viongozi wa juu kama Russia nimeona akiondoka kupanda pipa kurudi Russia. Wamebaki kama sikosei mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Poland. Kwa Tanzania naona pia tumefika tukiwakilishwa na balozi J. E. Ahmada Rweyemamu Ngemera. Kwa sasa naona kasimama kwenye foleni ndefu akisubiri kuweka sahihi kwenye kitabu cha Maombolezo.

Pichani hapa, siku Ngemera alipokuja kukabidhi Nondo kwa Marehemu Rais Kaczynski, mwaka huu mwanzoni.

http://m.prezydent.pl/gfx/prezydent/pl/defaultaktualnosci/9/1167/1/2743206.jpg
 
Back
Top Bottom