Police notification kwa makosa ya barabarani haiwezi kuzuia makosa

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
Fikiria gali inaondoka kituo kimoja A kwenda F, inapokuwa njiani kwenda B inachukua abiria waliosimama nakusimamishwa na police trafiki kati ya A na B, notification inaandikwa na safari inaendelea. Gali hiyo itaendelea kujaza abiria sasa kwa mtindo wa kushona abiria kila kituo. Itakaposimamishwa na police trafiki njiani, notification itaonyeshwa na safari inaendelea, mchezo utaendelea huo huo mpaka gali itakapofika kituo F ambapo watalipa 30,000/-ilhali wao wamesanya fedha nyingi kwa notification hiyo moja.
Je mfumo huu unaweza kweli kuleta ustaarabu wa level seat? na kusaidia gali kwenda na abiria kulingana na specification ya waundaji wa bodi na kuepusha accident barabarani?
Hizo ndizo sheria zetu.
 
bunge linaongeza adhabu baada ya sheria kufanyiwa marekebisho toka faini ya 20-30 elfu
 
Back
Top Bottom