Police kusimamisha shuhugili za kimaendeleo kwa sababu za kiusalama,wananchi husika wametendewa haki

loita

New Member
Apr 6, 2012
3
0
Wananchiwamezuiwa kufanya shuhuli zinazowapatia kipato cha kila siku na kunyanganywavitendea kazi vyao kwa sababu za kiusalama ikiwa ni pamoja na kutopatikana kwa silahaya askari police aliyeuwawa.silaha hiyo na risasi kufananishwa na simba 60walioachiwa uraiani.
Maswalininayojiuliza
· Wachimbaji wote ni majambazi?
· Nini kazi ya police?
· Mathara ya kuwazuia kuchimba yamefikiriwa kabla ya kuwazuia?
 
Back
Top Bottom