Police kill man-eating crocodile ( AFTER TANZANIAN WITCHDOCTOR TRAPS IT!)

Nimeileta hii habari sababu ya kuendelea kushangazwa na sie waafrika kuendelea kupenda ushirikina.Hebu someni hii habari halafu muone mganga toka Tanzania alivyowatapeli waganda!New Vision Online : Police kill man-eating crocodile
Nimesoma lakini sijaelewa ni wapi amewatapeli.Walimuita,wakamlipa na akatimiza kazi yao,tena kazi iliowashinda wanajeshi wao.Uko wapi utapeli wake?Siamini katika uganga lakini this was a transaction on which both parties interests were taken care of and therefore no one complained in the end....but the story ends prematurely.
 
Sawa sawa kabisa, kisheria hakuna makosa kwa mbongo wetu, swala ni ukiona hio list ya vitu alivyowaambia wamletee, unaona kabisa ni akili imetumika pale, kwa kuweka mtego wa mbuzi, kuku na vyakula vingine, yote kumtamanisha mamba ili aje kuvila, na ndipo askari wa kliganda wakapata nafasi ya kumtia risasi yule mamba.
Swala ni kwanini hao wanakijiji wa na wanajeshi wa uganda hawakufikira ivyo?
Na mganga atasema ni dawa imetumika, ila sio kweli, ni hivyo votoweo.
Kweli akili ni mali!
 
Mbona hatuwatumii hawa kutatua matatizo ya umeme tz kama rais na mawaziri wameshindwa? ahheeeeee
 
Back
Top Bottom