Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

par3695763.jpg


Arusha victim on 05/01/2011

Hivi nyie mbona mnaleta uchokozi na POLIce?
 
Nadhani tufanye mpango wa kutengeneza Police dirty album at Jf,ili tupost picha chafu za udikteta wa Tanzania. Ni wazo langu tu ktk kusaidia kupata evidences and referral point.
 
Wakuu ni ombi tu hizi picha zinazidisha hasira kwa wale walio namna moja au nyengine athirika na fujo au matukio hayo. Sidhani kama ni busara kuziweka kwani unachochea chuki katika jamii!! Ni mtazamo tu.

ufinyu wa mawazo,..watu wana haki ya kujua kilichotokea na kufanya maamuzi,..kama wataamua kuwapiga polisi mtaani ni uamuzi wao lakini huwezi kuwanyima haki yao ya kupata habari..lazima ukatili wao uanikwe for people to decide....ccm or opposition?? of coyrse wametumwa na makamba na jk kubrutalise people
 
Wadau, Polisi wetu ni Wahuni, Yes, they are Hooligans! MAra nyingine huwa nafikiri kuwa hawa jamaa huwa wanakusanywa tu vijiweni na kupelekwa CCP na baadaye kupewa ajira!

Kwa waliooona taarifa ya habari wiki ilopita wakati CDM Arusha walipoandamana kwenye mazishi kuna clip moja inaonyesha tukio la tarehe 5 Januari, Asikari Polisi wakilishambulia gari VV nyekundu ya Mfuasi wa CDM! Yaani wanalipiga gari kwenmye vioo na magongo yao!
Ajabu ni kuwa hata maandamano ya mazishi yale, Polisi waliyapiga marufuku lakini kwa kuwa walishaonja nguvu ya umma tarhe 5 Januari ilibidi wavumilie hata pale CDM walipoandamana kutoka Motuary hadi NMC. Ajabu ni kuwa yalikuwa maandamano ya amani sana tena bila Polisi. Polisi wetu huwu wanapima maji ili kutesti nguvu ya umma na bila shaka wameshagundua kuwa Umma kwa sasa hauogopi tena.

Huwa nawasikitikia sana Polisi wetu ni kama vile huwa wanatakiwa wavute bangi kabla ya kwenda kwenye 'kutuliza fujo;.
 
Kikwete fears for Zanzibar future

_41140048_hurt203bafp.jpg
This Zanzibar resident was injured in clashes between the police and the opposition

Tanzania's President-elect Jakaya Kikwete has told the BBC that calming tensions in Zanzibar is his "biggest concern" after recent poll violence.
He said he feared the semi-autonomous archipelago was "drifting apart".
Mr Kikwete has officially been declared the winner of last week's poll, after gaining 80% of the vote. An opposition candidate filed a suit on Monday claiming electoral fraud but Mr Kikwete said he was confident "there was no foul play". The opposition Civic United Front won most votes on Zanzibar's second island of Pemba, where there were clashes between the police and CUF activists.



SOurce:news.bbc.co.uk/2/hi/africa/4544628.stm
 
Kwani Tanzania hii haifanyiki? waliofanyiwa wenzetu ni sawa na hili tu! Malipo ni kuwapiga risasi hivi hivi hawa viongozi wetu wa kiafrika. Nafurahia sana aliyofanyiwa rais Doe miaka ile. Lilikuwa ni funzo zuri sana ninalotamani kuona viongozi wa vinchi vya kidikiteta kama vyetu wanafanyiwa. Wako wapi watu majasili wa enzi zetu ambao wako tayari kuwaonjesha machungu haya viongozi wetu na wana wao? Kama unaweza kuua wana wa wenzio kinyama kwa nini wako wabaki? kudadadeki!
 
Hapana sio Bongo anaglia kwenye mkono wa kushoto wa huyo mwanajeshi kuna ngao ambayo inaonyesha ni kama ya west Africa au america ya kusini

wanajua, kazi yao ni kueneza uzushi tu, lakini inawalipa kwani kwa pesa za wapiga kura wafaidi ruzuku zetu, ingekuwa amri yangu nafuta vyama vya siasa narudisha umangi na utemi maana sasa inachosha.
 
Well, you can not infringe people's rights for ages. We shall finally find a grave place for all the crooked puppets.

God bless the deceased for the Arusha unlawful violence.
 
tz.jpg



Police clashed with Chadema party supporters in Arusha, Tanzania on Wednesday during which three people were killed and scores injured. FILBERT RWEYEMAMU

The Kenya government has confirmed one of its nationals was among those killed during chaos that rocked the northern Tanzania city of Arusha on Wednesday.

The victim was a technician shuttling between Nairobi and Arusha serving various firms.

A Kenyan diplomat told the Sunday Nation Sunday afternoon that the victim died of bullet wounds he sustained during a violent clash between protesters and the police.

There is dispute on the number of people who died during the chaos which broke up after the police stopped a demonstration called in by Chadema political party.

On Thursday, police said three people have died but Chadema says at least five people were killed while other sources say the death toll could be even higher.

The official of the Kenyan High Commission in Tanzania said the Kenyan could have been killed by a stray bullet when police fired indiscriminately
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom