Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Tunaomba zile picha zao za kuomba rushwa mitaani.
Maana hawa kinachowasumbua ni njaa zaidi ya uwajibikaji.
 
arusha victims.jpg

This photo made on January 5, 2011 shows gunshot victims being attended at Arusha's main hospital after they were attacked by an anti-riot police during a peaceful demonstration by supporters of the main opposition party CHADEMA
 
British High Commissioner Philip Parham and ambassadors Staffan Herrstrom (Sweden) and Janeth Siddall (Canada) with the Head of the Police Special Unit, Commander Venance Tossi. The ambassadors visited Tarime during the run up to the by-election and met with the police and the consituency returning officer (photo Mussa

wanaomba msaada zaidi wapate nguvu za kuumiza wanacnhi

Baada ya vyombo vya habari kuripoti matukio ya ghasia na matumizi ya nguvu za dola kupita kiasi dhidi ya wafuasi wa siasa wenye msimamo dhidi ya ccm, wenye suti walifika tarime kujionea hali halisi na kupata nafasi ya kuzungumza na wanaodaiwa kuhusika na umbumbumbu wa demokrasia. Hapo tossi amepewa kampani na mwenzake wasaidiane kuchekacheka na kuokoteza mistari ya kizungu kadiri wanavyoweza ili kuua soo.
 
KIPIGO alichokipata ‘First Lady’ wa Chadema, Josephine Mushumbusi (pichani) katika maandamano ya chama hicho kushinikiza kurudiwa upya kwa uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha, kimetafsiriwa kama ni mkosi wa tatu uliomkumba mwanaharakati huyo tangu aingie katika siasa.

Wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa wanasema kuwa, Josephine anayetambulishwa kama mchumba au mke wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbroad Peter Slaa pamoja na ujasiri wake, bado ameendelea kukutwa na mikosi.

Wakitaja baadhi ya matukio, wadau hao wa siasa walisema kuwa, mkosi wa kwanza wa ni kitendo cha mumewe wa awali, Aminieli Mahimbo kumfikisha mahakamani Dk. Slaa baada ya kumkacha kwenye ndoa yeye na kuibukia kwa mwanasiasa huyo.

Mkosi wa pili unatajwa kuwa ni kitendo cha Dk. Slaa kuvunjika mkono katika ajali ya kuanguka bafuni wakati akioga hasa ikizingatiwa kuwa, alikuwa katika harakati za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Agosti mwaka jana.

Kumbukumbu zinaonesha kwambaJosephine anakuwa ni ‘First Lady’ wa kwanza kupata kipigo kutoka kwa jeshi la polisi kati ya wote waliowahi kujihusisha na siasa za Tanzania kwa migongo ya waume zao waliowania urais.

Hata hivyo, mwanamke huyo ameonekana ni jasiri na mkomavu kisiasa huku akiaminiwa kuwa, uvumilivu wake umemfikisha kwenye majukumu aliyonayo sasa.

Januari 5 mwaka huu, vurugu kubwa ilitokea jijini Arusha na kusababisha viongozi kadhaa wa Chadema, akiwemo Mwenyekita Taifa, Freeman Mboye na Katibu Mkuu, Dk. Slaa kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa la kukaidi amri ya kutoandamana kushinikiza kurudiwa kwa uchaguzi wa Meya.
Katika vurugu hizo watu wawili wanadaiwa kupoteza maisha na sita kujeruhiwa.

Tags: UCHAGUZI, risasi11
Share Twitter Facebook
 
KIPIGO alichokipata ‘First Lady' wa Chadema, Josephine Mushumbusi (pichani) katika maandamano ya chama hicho kushinikiza kurudiwa upya kwa uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha, kimetafsiriwa kama ni mkosi wa tatu uliomkumba mwanaharakati huyo tangu aingie katika siasa.

Wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa wanasema kuwa, Josephine anayetambulishwa kama mchumba au mke wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbroad Peter Slaa pamoja na ujasiri wake, bado ameendelea kukutwa na mikosi.

Wakitaja baadhi ya matukio, wadau hao wa siasa walisema kuwa, mkosi wa kwanza wa ni kitendo cha mumewe wa awali, Aminieli Mahimbo kumfikisha mahakamani Dk. Slaa baada ya kumkacha kwenye ndoa yeye na kuibukia kwa mwanasiasa huyo.

Mkosi wa pili unatajwa kuwa ni kitendo cha Dk. Slaa kuvunjika mkono katika ajali ya kuanguka bafuni wakati akioga hasa ikizingatiwa kuwa, alikuwa katika harakati za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Agosti mwaka jana.

Kumbukumbu zinaonesha kwambaJosephine anakuwa ni ‘First Lady' wa kwanza kupata kipigo kutoka kwa jeshi la polisi kati ya wote waliowahi kujihusisha na siasa za Tanzania kwa migongo ya waume zao waliowania urais.

Hata hivyo, mwanamke huyo ameonekana ni jasiri na mkomavu kisiasa huku akiaminiwa kuwa, uvumilivu wake umemfikisha kwenye majukumu aliyonayo sasa.

Januari 5 mwaka huu, vurugu kubwa ilitokea jijini Arusha na kusababisha viongozi kadhaa wa Chadema, akiwemo Mwenyekita Taifa, Freeman Mboye na Katibu Mkuu, Dk. Slaa kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa la kukaidi amri ya kutoandamana kushinikiza kurudiwa kwa uchaguzi wa Meya.
Katika vurugu hizo watu wawili wanadaiwa kupoteza maisha na sita kujeruhiwa.

Tags: UCHAGUZI, risasi11
Share Twitter Facebook
 
Poleni wapiganaji. hayo ni matokeo ya kupigania haki ya wanyonge lakini TUSIOGOPE mtetezi wetu yuko HAI.
 
Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom