Poleni wana arumeru na wana ifakara hizi ni fikra zangu tu

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,743
1,732
Nilipokea na nilsikitika niliposikia kifo cha Mbunge kijana Bi Regia Mtema sikusikitika sana juu ua kifo cha Msumari kwa sababu simjui pia amekula chumvi nyingi sana namwombea tu apumzike kwa amani NINACHOTAKA KUWAOMBA NDUGU ZANGU WA ARUSHA HASA VIJANA ZOEZI LA UCHAGUZI LIKIFANYIKA MSIFANYE MAKOSA TENA CHAGUENI KIONGOZI BORA MSIANGALIE MASLAHI YA MUDA MEAN KOFIA NA KANGA ZA KIJANI NA NJANO
 
Kuna mtu huku Meru anaitwa NASARI alikuwa mbunge ambaye hana mshahara wala posho now anakuwa mbunge halali kupitia CDM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom