Poleni wa majuu na baridi.

Tatizo la Australia ni misitu inayowaka moto bila mpango!
Nasikia wanabagua kweli huko...wataturuhusu kuvamia kweli?

usiogope hiyo mioto, ikikupata consider it an accident and move on...anyway bushfires hazipo kila mahali

makali ya ubaguzi...inategemea na sehemu, lakini ukija usije ukaota ati Ab Tichaz junior atakeyezaliwa hapa atakuwa na uwezekano wa kuwa Mr. president...nope!!:D
 
Yaani snow inakuwa sio kubwa kihivyooo....ila hilo wind chill mazee....hadi ukitema mate yanaganda njiani....balaaa..:D
 
Poleni watu wa huko majuu na baridi la namna hii.Tunamshukuru Mungu kwa kutotupa weather kama hii otherwise tungeshakufa kwa kukosa vipasha joto.

Najua nanyi kimtindo mnakula shida kwa kukaa ndani masaa yote na kushindia biskuti na vipapatio vya ndege.Nasiki gonjwa linalowapa taabu huko ni mafuu? Lol

Poleni wa Midwest Chicago,Twin cities MN,Detroit,Toledo,Columbus,Potland,Boston na kwingineko.Mkishindwa masnoo karibuni tule vumbi.
Tuambiani experience yenu ya kuishi kwenye masnoo chungulieni dririshani mfotoe mapicha ya snoo alafu mtuwekee.

wintersunset2.jpg
kwa maisha ya huku Ulaya sisi ni kitu cha kawaida kwa sababu tumezoea sasa yapata miaka 20 tunaoan ni kitu cha kawaida hali ya hewa yake ni baridi lakini tumeshazoea ingawa kila wakati tupo kwenye vyomba vya kuweka joto katika nyumba zetu tukija huko itabidi tupate shida kwa joto na Mbu huku hakuna kitu kinachoitwa Mbu huku ni baridi mtindo mmoja asante kwa kutupa pole
 
mwaka huu ni kiboko, yaani kuanzia ulaya, marekani hadi asia ya kaskazini, kila mtu anasema mwaka huu imezidi.

kweli huko kwetu ingekuwa kazi kwelikweli na ndio tungezinduka tuanze kusaka maendeleo kwa dhati.

ni kweli pitapita zimepingua yaani kila mtu barabarani anatembea kwa kasi awahi kuingia ndani, iwe ni dukani au nyumbani. na nguo zote ni za kufunika mwili gubigobi, na kujaladia ni mtindo mmoja ila chakula kinaliwa kama kawaida mkuu, usihofu.

wengi sasa wanachukua likizo na wanatumia akiba waliyojiwekea.

kama kuna cha kujifunza hapa ni utamaduni huu wa kujiwekea akiba ni mzuri sana hata kwetu tukiuzingatiaa.

Karibuni South FL. Kila siku ni jua na hali ya hewa ni poa sana
 
Karibuni South FL. Kila siku ni jua na hali ya hewa ni poa sana

Kweli huko South Florida kuna jua mwaka mzima na totoz si mchezo na hasa wakati wa spring break lakini, hurricanes bwana! Ni heri mi-ICE yetu huku midwest kuliko hiyo midudu. Hiyo ikianza yaani haitabiriki hata ukijichimbia ndani yanaweza kukufuata.
 
Back
Top Bottom