Inavyoelekea wewe lazima utakuwa mitaa ya midwest, haupo bongo kwa hiyo na wewe cha moto unakipata. Vumilia tu ndugu yangu kwani mitaa hiyo baridi kali huwa linakuwa mwezi January na tayari ushafuta ka-week sasa.Poleni watu wa huko majuu na baridi la namna hii.Tunamshukuru Mungu kwa kutotupa weather kama hii otherwise tungeshakufa kwa kukosa vipasha joto.
Najua nanyi kimtindo mnakula shida kwa kukaa ndani masaa yote na kushindia biskuti na vipapatio vya ndege.Nasiki gonjwa linalowapa taabu huko ni mafuu? Lol
Poleni wa Midwest Chicago,Twin cities MN,Detroit,Toledo,Columbus,Potland,Boston na kwingineko.Mkishindwa masnoo karibuni tule vumbi.
Tuambiani experience yenu ya kuishi kwenye masnoo chungulieni dririshani mfotoe mapicha ya snoo alafu mtuwekee.
Poleni watu wa huko majuu na baridi la namna hii.Tunamshukuru Mungu kwa kutotupa weather kama hii otherwise tungeshakufa kwa kukosa vipasha joto.

HUko ndugu yangu summer ikianza utatamani tena baridi, maana jua na joto si mchezo, kuna ile kitu yao wanaiita humidity huwa inakuwa juu si mchezo.duh mkuu, mi nilikuwa sijawahi kufika majuu! nimetia timu majuzi tu nina miezi tu. nakwambia huku bora bongo. yalitushukia masnow usipime. sasa bongo laga tunapiga nje ya mahaus tukicheki vimini huku totoz zooote zimevaa hata kujua nani ninja na nani si ninja ni shughuli. yaani baridi inafanya vimini vimeadimika mitaani. hata ukiibuka kiutu uzima na totoz moja, aagh ndani ya room nayo baridi tupu, vi-heater vyao mi naona miyeyusho tu, huku jamani hakuna raha labda kwa vile mie mgeni, tungoje hilo li-summer lenyewe tuone labda mambo yataimprove
kawli mkuu, tunadeserve pole, manake tunapigika kishenzi!!!!!!!!!!!!!
HUko ndugu yangu summer ikianza utatamani tena baridi, maana jua na joto si mchezo, kuna ile kitu yao wanaiita humidity huwa inakuwa juu si mchezo.
Poleni watu wa huko majuu na baridi la namna hii.Tunamshukuru Mungu kwa kutotupa weather kama hii otherwise tungeshakufa kwa kukosa vipasha joto.
Najua nanyi kimtindo mnakula shida kwa kukaa ndani masaa yote na kushindia biskuti na vipapatio vya ndege.Nasiki gonjwa linalowapa taabu huko ni mafuu? Lol
Poleni wa Midwest Chicago,Twin cities MN,Detroit,Toledo,Columbus,Potland,Boston na kwingineko.Mkishindwa masnoo karibuni tule vumbi.
Tuambiani experience yenu ya kuishi kwenye masnoo chungulieni dririshani mfotoe mapicha ya snoo alafu mtuwekee.
mie juzi niliweka kikombe cha chai dirishani nikafungua kidogo kipoe ninye chapchap kabla ya kukibilia class, salale! si nikakuta chai meganda! wazaa, huku ni zaidi ya freezer!
Mkuu ikiwezekana rudia mara mbili kusoma kabla hauja post maana duh! Hii baridi inatisha sipati picha kama ndo bongo tungekuwa na winter kama hili sijui kama tungepona na ule umeme wetu lol!
duh mkuu, mi nilikuwa sijawahi kufika majuu! nimetia timu majuzi tu nina miezi tu. nakwambia huku bora bongo. yalitushukia masnow usipime. sasa bongo laga tunapiga nje ya mahaus tukicheki vimini huku totoz zooote zimevaa hata kujua nani ninja na nani si ninja ni shughuli. yaani baridi inafanya vimini vimeadimika mitaani. hata ukiibuka kiutu uzima na totoz moja, aagh ndani ya room nayo baridi tupu, vi-heater vyao mi naona miyeyusho tu, huku jamani hakuna raha labda kwa vile mie mgeni, tungoje hilo li-summer lenyewe tuone labda mambo yataimprove
kawli mkuu, tunadeserve pole, manake tunapigika kishenzi!!!!!!!!!!!!!