Poleni sana familia ya Godfrey Mwanache wa suka

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Wapendwa napenda kuwapa pole waliohusika kwa namna moja ama nyingine kwenye uhuzuni ya mpendwa wetu mzee godfrey mwanache aliezikwa jana makaburi ya kinondoni
hakika sikuamini ila najua kila kitu kuna kusudi la mungu..polen mama watoto wote bila kumsahau kakayangu bob na wengine wote,mungu awape roho ya uvumilivu bwana ametoa bwana ametwaa...dear mama napenda kukupa uhakika bwana yesu ndie chief husband wetu baba ameondoka lakini yesu yuko nyuma yako akikulinda na yote...namkumbuka mzee wetu enzi za mitsubishi ndie aliekuwa big supplier wetu ..anyway na mengine mengi na upendo wake
mbarikiwee
 
ooh GOD.....mzee Mwanache amefariki.....
RIP Mzee Mwanache,poleni sana BOB,MARTIN na wanafamilia wote...AMEN.
 
May all beings attain enlightenment. May all the family members and friends find comfort during these pressing times.
 
Pole sana bob ,martin, pamoja na kisa .k.ndu,...mungu ailaze pema roho ya marehemu mzee mwananche
 
jesus crist,mzee mwanache hayupo nasi tena!!
poleni sana wana familia,you cant emagine ndio najua hapa sasahivi.pole sana Adrwe/andea,my best friend.leo tarehe 13/8/2010,ndio napata taarifa hizi na hi ni kutokana na kua mbali na adrew katika harakati za kutafuta maisha.pole sana adrew and hang on men everything its gona be allright.Martin and bob.
your
Innocent Didas
+25576565853
Mbezi Chazamani Dar
 
Bob na Martin na ndugu zenu wote poleni sana na msiba wa kuondokewa na mzee wenu. Nakumbuka mimi ndio nilikuwa natia mguu ughaibuni ninyi ndio mlikuwa mkiondoka kurudi TZ.

Poleni sana mimi ni Richard wa ile company ya no.5 Spencer Road.

RIP mzee Mwanache.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom