Pole sana ndugu yangu Alex Kasuwi....kweli tutamkumbuka Martha Shani [Habari Picha]

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
"Candle In The Wind"

Goodbye Martha Shani
Though I never knew you at all
You had the grace to hold yourself
While those around you crawled
They crawled out of the woodwork
And they whispered into your brain
They set you on the treadmill
And they made you change your name

And it seems to me you lived your life
Like a candle in the wind
Never knowing who to cling to
When the rain set in
And I would have liked to have known you
But I was just a kid
Your candle burned out long before
Your legend ever did​

Shukrani kwa Watanzania wote na Jamii kwa ujumla kwa kuonyesha upendo wao mkubwa wa kufanikisha michango kwenye msiba wa ghafla uliomkuta kaka yetu, ndugu yetu, jamaa yetu, Bwana Alex Kassuwi aliyefiwa na mkewe MARTHA SHANI, siku ya Jumamosi , Oktoba 19, 2013 kwenye hospitali ya huko Frederick, Maryland, Marekani.

_DSC6309.JPG

Watanzania waishio DMV wakiushindikiza Mwili wa marehemu Martha Shani ndani ya kanisa la Good Samaritan Lutheran Church lililopo Greenbelt Maryland kwa ajili ya maombi Kwa wale waliokua wanafuatila vyema msiba uliomkumba mTanzania mwenzetu Bwna Alex Kassuwi. Mwili wa marehemu utasafirishwa kesho kuelkea Tanzania. M/Mungu amjalie makaazi meema Peponi Ameen

_DSC6330.JPG

Anko George Sebo akisoma ratiba ya ibada ya Marehemu Martha Shani katika Kanisa la Greenbelt Maryland, nchini Marekani
_DSC6351.JPG

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa na ofisa wa balozi Mhe. Suleiman Saleh.

_DSC6346.JPG

Mchungaji Nicodemus Hanje akitoa neno la faraja

_DSC6373.JPG

Mfiwa Alex Kassuwi akiwa na wanawe Joseph Kassuwi mwenye miaka 13 na Christian Kassuwi miaka 3 wakisikiliza neno la Mungu.
_DSC6405.JPG
_DSC6406.JPG
_DSC6410.JPG
_DSC6414.JPG
_DSC6430.JPG
_DSC6432.JPG
_DSC6433.JPG
_DSC6477.JPG
_DSC6481.JPG
_DSC6499.JPG
_DSC6568.JPG
 
Poleni sana wafiwa,poleni sana watanzania mnaoishi Marekani.Mungu amrehemu Martha Shani na aipe faraja familia yake kwenye kipindi hiki kigumu,amein.
 
Amen! my brother Fukara
 
Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
Wakuu huyu ni mdogo wangu kabisa kwa baba na mama, tupo kwenye wakati mgumu kuamini kilichotokea lakini ukweli utabaki kuwa ametangulia mbele za haki

Mwili wa marehemu utafika kesho mchana na shughuli za kuaga zitakuwa Mbezi, kisha safari ya kwenda Singida kwenye pumziko lake la milele
 
Pole sana mkuu. Mwenyezi Mungu awapatie faraja katika wakati huu mgumu.
 
Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
Wakuu huyu ni mdogo wangu kabisa kwa baba na mama, tupo kwenye wakati mgumu kuamini kilichotokea lakini ukweli utabaki kuwa ametangulia mbele za haki

Mwili wa marehemu utafika kesho mchana na shughuli za kuaga zitakuwa Mbezi, kisha safari ya kwenda Singida kwenye pumziko lake la milele

Mkuu Paulo S.S;

Poleni sana ...Mpe pole pia jamaa yangu N. Shani ....Martha ametangulia mbele ya haki na Rehema na Hekima za Mwenyezi Mungu zitawale katika kipindi hiki kigumu na hata milele.
 
Asante mkuu, tupo pamoja
 
poleni sana, jamaa nilikua namuona sura kwenye swahili tv sijui sikua najua jina lake.

r.i.p shemeji yetu. :crying:
 
Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
Wakuu huyu ni mdogo wangu kabisa kwa baba na mama, tupo kwenye wakati mgumu kuamini kilichotokea lakini ukweli utabaki kuwa ametangulia mbele za haki

Mwili wa marehemu utafika kesho mchana na shughuli za kuaga zitakuwa Mbezi, kisha safari ya kwenda Singida kwenye pumziko lake la milele
Poleni sana mkuu. Mungu ni mwema sana na kila kitu kinatokea kwa sababu zake. Utatujulisha tutakaoweza kuja kutoa heshima zetu za mwisho ni Mbezi sehemu gani mkuu. Mungu Amlaze Martha Mahala Pema Peponi...Amina.
Poleni sana Paul. Yeye Mbele Sisi Nyuma.
 
polen sana wafiwa, nimependa sana kuona kwamba mnasali nilijua huko ulaya wabongo mkishafika kanisan hamuendi.
Kumbe huwaga mnasali na mnamchungaji m-bongo kabisa, afadhali mnafarijiana.
Paul s s peleka salam za pole kwa familia
 
Last edited by a moderator:
Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
Wakuu huyu ni mdogo wangu kabisa kwa baba na mama, tupo kwenye wakati mgumu kuamini kilichotokea lakini ukweli utabaki kuwa ametangulia mbele za haki

Mwili wa marehemu utafika kesho mchana na shughuli za kuaga zitakuwa Mbezi, kisha safari ya kwenda Singida kwenye pumziko lake la milele
Mauti ni njia yetu sote lakini kuna msiba unaotokea wakati na sehemu inayotupa wakati mgumu zaidi.
Kwa jinsi hizi picha zinavyoonyesha ni wazi ngugu yetu Alex Kasuwi atakuwa na wakati mgumu, cha muhimu hapo ni kumgeukia Mungu na atamuongoza kwenye hatua nyingine ya maisha.
Poleni sana.

Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
Wakuu huyu ni mdogo wangu kabisa kwa baba na mama, tupo kwenye wakati mgumu kuamini kilichotokea lakini ukweli utabaki kuwa ametangulia mbele za haki

Mwili wa marehemu utafika kesho mchana na shughuli za kuaga zitakuwa Mbezi, kisha safari ya kwenda Singida kwenye pumziko lake la milele

Pole sana mkuu, mbele yeye nyuma sisi.
 
Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
Wakuu huyu ni mdogo wangu kabisa kwa baba na mama, tupo kwenye wakati mgumu kuamini kilichotokea lakini ukweli utabaki kuwa ametangulia mbele za haki

Mwili wa marehemu utafika kesho mchana na shughuli za kuaga zitakuwa Mbezi, kisha safari ya kwenda Singida kwenye pumziko lake la milele

Pole sana Paul,mpe pole sana ndugu yangu rafiki yangu Nosha.Tutakuja kuwafariji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom