Nyuki
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 367
- 14
Swali kwa Mzee JSM. Je utakuwa msitari wa mbele kwenye kampeni za CCM kuhakikisha mnashinda uchaguzi ujao kwa kishindo hasa kwenye jimbo la mtera kuhakikisha linaendelea kuwa la CCM? Je hutakuwa na kinyongo chochote baada na mambo haya yote kukutokea?
lazima atakuwa mstari wa mbele tena JK atamteua kwenye ubunge katika zile nafasi kumi za rais, kwenye the house lazima atakuwepo