Pole Mh E.Lowasa kwa kufiwa

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Mh E.Lowasa kafiwa na mdogo wake Lonard Lowasa,kifo kimetokea ktk Hospital ya AICC Arusha na mazishi yatafanyika kijijini kwao Ngarashi Monduri Jpili ya Tareh 25/12 saa nane mchana

mungu ailaze Roho ya Ronald Mahali pema amin

Bwana ametoa na pia ametwaa jina la bwana liabudiwe

Pole Mh EL mungu akupe nguvu ktk wakati huu mgumu
 
Poleni sana familia ya lowassa kwa yaliyowakuta. Mungu na awatie nguvu na kuwafariji.
 
ina maana humu jf jakaya ni maarufu kuliko lowassa??maana naona comment za msiba huu wa lowassa hazitoshi kabisa compared na zile za siku ile jakaya alifiwa na dada wa pale magomeni mapipa....mashabiki wa lowassa urafiki sio wakati wa raha hata wakati wa vipindi vigumu mshikame pamoja,naona mnaanza kupoteana mapema wakati mna safari ndefu sana ya kumsindikiza jamaa mpaka 2015!
mi napita zangu.
 
pole mzee wangu kwa kufiwa na dogo....mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu vibaya sana....mtegemee bwana kwa kuwa yeye ndiye mzabibu wa kweli
 
Back
Top Bottom