Pole FL1...

Mikono ya bwana ili panda na mikono ya bwana imevuna,jina la bwana lihimidiwe.Aaamin!!
 
Bwana Ametoa Na Bwana Ametwaa. Kazi yake Haina Makosa. Poleni sana wafiwa!
 
Pole sana FL1 ... Mungu awajaalie wewe na familia ya marehemu Moyo wa uvumilivu na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu ...

"kwa hakika kila nafsi itaonja umauti hivyo tujiandae wakati wote!!"

MDBD
 
Mwanakijiji:
1.Tunashukuru kwa taarifa.
2. FL1 pole sana kwa yote mungu akutie nguvu katika kipindi hiki cha majonzi.
3. Mwanakijiji hongera kwa avatar mpya.
4. Nakuonea wivu kwa jinsi ulivyo current na mambo kuliko tuliyo uswahilini.
 
Habari zimenifikia kuwa dada yetu FL1 amempoteza rafiki yake wa karibu mapema leo. Naomba kutoa pole zangu kwake na kwa familia ya rafiki yake huyo kwa msiba huu. Tunamwomba Mungu awafariji familia ya Marehemu, ndugu, jamaa na marafiki na ailaze pema peponi, roho ya marehemu, Amina


Pole sana FL1 kwani huyo ni rafiki ako wa kike au wa kiume. Ok Haijalishi pole sana mungu akupe nguvu na Familia ya rafikiyo mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mwenyezi mungu ilaze roho ya marehemu pema peponi
 
Pole sana 1st lady kwa msiba mkubwa uliokufika. Namuomba Mungu awape nguvu na faraja wewe na wafiwa wengine katika kipindi hiki kigumu kwenu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
Hi FL1!

My Condolences dear!..

Ulimpenda sana lakini Mungu kampenda zaidi.

Bwana ametoa & Bwana ametwaa Jina la Bwana na lihimidiwe!..

Mawio,
~*~*~*!..
========
 
my dia FL1, hii ni mtihani tu ya dunia, nakuombea Mungu akupe ujasiri na nguvu uweze kuishinda
 
My God, I hope siyo yule aliyepigwa na mumewe wakati ule kule Moshi?????
FL1, we praye strength for you during this difficult from our God through Jesus Christ, The Lord.
 
Pole sana FL1,

... Dunia wote tutapita.... hakuna kitu kitabakia.....Binadamu ni Mchanga....Itabaki milele ni Milima.

Jina la Bwana libarikiwe

Amen
 
Back
Top Bottom