Pole Balozi Maharagwe

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
maharagwe5.jpg
Maharagwe4.jpg

mahaeagwe3.jpg

Maharagwe2.jpg

20040118-candle-light.jpg

Kwa mliopo mjini nadhani mnafahamu kuhusu msiba uliomkumba huyu balozi wetu wa bintiye na kwa taarifa tu ni kuwa mazishi yamefanyika leo leo...inshaalah nitawaupdate kuhusu taarifa za KHITMA

Inaah lilahi wa inna illahi rajuun
 
Last edited:
Kwa sababu msiba umetokea leo na wamezika leo leo

nie radhi kwa kutowasilisha hizi taarifa mapema
 
20040118-candle-light.jpg

Kwa mliopo mjini nadhani mnafahamu kuhusu msiba uliomkumba huyu balozi wetu wa bintiye na kwa taarifa tu ni kuwa mazishi yamefanyika leo leo...inshaalah nitawaupdate kuhusu taarifa za KHITMA

Inaah lilahi wa inna illahi rajuun
huyu aliyefariki ni yupi?
 
Poleni wafiwa.. Waungwana naombeni kufahamishwa huyu Balozi Maharagwe ni nani hasa?

Mbarikiwe sana.
 
poleni wafiwa.

nawafahamu kina maharage ni familia yenye watu wema sana.

naomba kuambiwa jamani ni nani aliyefariki katika familia hiyo?

ANAYEJUA TAFADHALI ATUFAHAMISHE
 
The Maharag(w?)es are cool people.

Inawezekana ni kweli wako "cool" hao watu lakini officially na kisiasa wana allegations za kujaribu kuficha muonekano wa nepotism kama ambavyo ilirekodiwa na mwana jamvi mmoja huko nyuma akisema:

Balozi Maharage ana ndugu yake pale Foreign alikuwa anatumia jina la Maharage. Maharage mdogo alipoajiriwa Foreign, yeye albadili jina kuepuka masuala ya maadili...
Na ndio uzuri wa hili jamvi. Ukitaka ka background check ka mtu basi marekodi ya ma allegations yote yamo.
 
Last edited:
Kuna siku utanielewa Jasusi.

Najaribu kuchangia, japo kiduchu, kujenga ka jamii fulani nchini kwetu ambako kanafanana fanana na kule tunakokimbilia. Nina uchungu mno na nchi yetu, nikisikia, kwa mfano, hayo ya nepotism, yananiuma mno.

Unaenda nchi ya watu, huna mjomba, huna Mama, huna mfadhili, huna ndugu, unaanza maisha, unatafuta kazi unapata bila ki-memo, bila ma connection, why, how? Sana sana watacheka "your name is funny, where're you from," lakini utagombania hiyo kazi kama wenyeji, utapata au kukosa kama wenyeji. How, why? Why not us?

Halafu sisi, Jasusi, ndio tunasema tuna mizizi ya Ujamaa, lakini ndo wa kwanza kubaguana, why...why... why???

By the way, nadhani foreign affairs ni moja ya wizara inayoongoza kwa nepotism.
 
Familia ya balozi mohamed maharage juma inachukua fursa hii kuwashukuru wote ambao walioweza kushiriki katika mazishi na kuifariji familia kwa kufiwa na binti yao mpendwa fatuai binti mohamed alyefariki julai 08, 2009 na kuzikwa siku hiyo hiyo.

Familia inathamini fadhila hii kubwa ya upendo katika kipindi hiki kigumu na inawaombea nyote kheri na amani na familia zenu.

Ina lilahi wa ina ilahi rajooon

mohamed maharage juma
 
Ina Lilahi WainaIlaih Rajiun,
Nawapa pole sana familia ya Maharage Juma na hasa mshikaji wangu wa nguvu Perreira...
Kwa taarifa za karibu (zisizo na Uhakika) nimesikia kwamba binti marehemu aliwekewa sumu ktk mishkaki..wapi sielewi!..
Nitazidi kufuatiolia zaidi habari hii.....inatisha jamani...
 
Mzee angalia tusije tukakudai source hata kama habari siyo za uhakika, kuna umuhimu wa kui-verify maana hii hatari kubwa na inatisha. Tutaanza kuogopa offer za vinywaji na lunch/dinner.

RIP binti wa Mzee Maharage na Pole kwa familia ya Mzee Maharage!
 
Najua mkuiu wangu, ndio habari zinavyotembea..unajua tena kina mama zetu majumbani hupata habari kama hizi mapema mtandao sii JF pekee...Nitafuatilia zaidi kesho unajua tena sasa hivi usiku wa manane Bongo.
 
Ina Lilahi WainaIlaih Rajiun,
Nawapa pole sana familia ya Maharage Juma na hasa mshikaji wangu wa nguvu Perreira...
Kwa taarifa za karibu (zisizo na Uhakika) nimesikia kwamba binti marehemu aliwekewa sumu ktk mishkaki..wapi sielewi!..
Nitazidi kufuatiolia zaidi habari hii.....inatisha jamani...
mishikaki,alikula mitaa ya KAWE
 
Back
Top Bottom