PoI- Kwa mwenye nakala ya hard copy ya "Hatima ya Tanzania"

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Kwa mwenye hard copy ya "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" naomba mnisaidie hapa...

a. Kwenye nukuu ya kwanza ya ripoti ya Nyalali (mwanzo kabisa) kuna sehemu inasema hivi:

Mapatano hayo yalifanywa kwa manufaa ya wananchi wote wa Tanza­nia. Hilo halina ubishi. Miungano mingi ya aina hii duniani, imefanywa na viongozi kwa njia hii au nyingine kwa niaba ya wananchi, bila kuhojiwa na hapana sababu ya kuhojiwa kitendo hicho. K \Va m;ingi huo, wale wachache wanaohoji na kutlka ku... ya maoni juu ya suala hili; hawaitakii mema nchi hii. Hoja hiyo haikubaliwi na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi. (Makofi)

Unaweza kuangalia mtiririko wa maneno yanayokosekana hapo?

natanguliza shukrani.

Na pia anayekumbuka orodha ya viongozi wa kitaifa wakati ule.. orodha yangu ina wafuatao sijui nani nimemruka na alikuwa muhimu katika mjadala wa OIC na Tanganyika..

Baba wa Taifa: Mwal. Julius Kambarage Nyerere

Rais wa Jamhuri ya Muungano: Mhe. Ali Hassan Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Makamu wa Pili wa Rais:Mhe. Dr. Salmin Amour

Waziri Mkuu wa Muungano na Makamu wa Kwanza wa Rais: Mhe. John S. Malecela

Spika wa Jamhuri ya Muungano: Mhe. Pius Msekwa

Katibu Mkuu wa CCM: Mhe. Horace Kolimba

Waziri wa Sheria na Katiba: Mhe. Samwel Sitta

Kiongozi wa kundi la Wabunge 55 (G55): Mhe. Njelu Kasaka
 
google.. haijasaidia kwani inaleta hii iliyoko hapa JF.. CCM hawawezi kuwa nacho pale kwani hawakubaliani nacho!
 
google.. haijasaidia kwani inaleta hii iliyoko hapa JF.. CCM hawawezi kuwa nacho pale kwani hawakubaliani nacho!
Mungu wangu kitabu hicho nilikuwa nacho home lakini sikioni. Ngoja niendelee kukitafuta. Isije ikawa wajukuu wa mafisadi papa waliingia nyumbani kwangu wakakikolimba!
Najua sisi m hawakipendi kabisa ingawa hawasemi hadharani. Utajua tu kwa vile hakuna hata mmoja wao ana ujasiri wa kufanya quotations kwenye kitabu hichi katika hotuba zake.
Alafu walivyo wajinga wanatudanganya kuwa wanamuenzi babu wa taifa!
[/SIZE]
 
Back
Top Bottom