pm zimekuwa nyingi

Unapata faida gani mtoto wa kiume kujivika uhusika wa kike humu jamvini?
Ni kujidhalilisha...halafu hata nafsi itakuwa inamsuta coz dume kujifanya jike ni kujidhalilisha coz utatongozwa...utajilazimisha kuongea kikike....simama Kiume Kama John na si Jane..
 
Ni kujidhalilisha...halafu hata nafsi itakuwa inamsuta coz dume kujifanya jike ni kujidhalilisha coz utatongozwa...utajilazimisha kuongea kikike....simama Kiume Kama John na si Jane..

Umemaliza mzazi!!kuna mabwabwa wawili huyu na mwenzake kaanzishaa uzi eti anapendwa na mashoga!
 
Narudia tena!UNAPATA FAIDA KUJIVALISHA UHUSIKA WA KIKE WAKATI WEWE WAKIUME!!!!!utajisahau utajitia mtoto wa kike hadi mtaani!itakucost....ushauri tu kama unabisha endelea kujifanya demu humu jamvini!

ongea vizuri na kwa uhakika Mkuu.. Jane 000 ni DUME.!?
 
Back
Top Bottom