Pm za watu

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
PM/emails/inbox za girls/ladies

1.I love u dear (kutoka Vicent)
2.Nakuja kukuchukua kesho asubuhi(from Joseph)
3.Huwa najihisi vibaya nikikuona na mwanaume mwingine(from Alex)
4.Jamani mammy usisahau kuja kwenye birthday yangu (from Anita)
5.Nitafanya kila kitu ili uwe wangu (from Peter)
6.Najua ur taken but wunt mind being ur number two (from Kevin)

Pm/emails/inbox za wanaume.
1.You have insufficient funds to renew your daily data bundles (from zantel)
2.Huna masikio wewe?usinisumbue nimeshkuambia nimeolewa (from Jane)
3.Usinisumbue tena ain't ur type (from Stella)
4.Hakikisha huu mwezi usilete story zako kama mwezi uliopita (from Landlord)
5.I never knew u could be a player,its over between us (from sookie/girlfriend)
6.Sijaona siku zangu huu ni mwezi wa 2 sasa (from mke wa jirani)
7.Oya tutakosana niletee DVD zangu (from Danny)

Mwanaume mwanaume tu,anapata inbox kavu na hana stress.
 
umesahau hii

kama hujaja na laki tatu leo nilizokwambia ninashida nazo usije kabisa na naenda jolies kuzitafuta(frm anitha-nyumba ndogo)
leo usisahau ada ya salome na hela yangu ya kwenda kusuka baba salome (frm wife)
si nilikwambia kaka huyo mke siyoo tangu hujamtolea mahari ona sasa anavokupa presha, cheupe dawa huyu shoga yangu anakupenda kweli (frm sis mariam)
hakikisha kesho asubuhi unanikabidhi barua zote za kwenda wizarani zenye madai ya wafanyakazi mwezi huu (frm boss)
lol! bado gangwe tuu!
 
hahaaha!!!!Wanaume tumeumbwa ...............................kuhangaikaaaaaaa!!!!!!!
 
umesahau hii

kama hujaja na laki tatu leo nilizokwambia ninashida nazo usije kabisa na naenda jolies kuzitafuta(frm anitha-nyumba ndogo)
leo usisahau ada ya salome na hela yangu ya kwenda kusuka baba salome (frm wife)
si nilikwambia kaka huyo mke siyoo tangu hujamtolea mahari ona sasa anavokupa presha, cheupe dawa huyu shoga yangu anakupenda kweli (frm sis mariam)
hakikisha kesho asubuhi unanikabidhi barua zote za kwenda wizarani zenye madai ya wafanyakazi mwezi huu (frm boss)
lol! bado gangwe tuu!
hapo ndo huwa tunaona dunia chungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom