Kumbuka maneno ya JK baada ya uteuzi wa Pinda kuwa Waziri Mkuu. Alisema Lowasa, mtangulizi wa huyu Pinda, alikumbwa na AJALI ya KISIASA tu. Kwa maana hiyo Pinda aliupata UwaziriMkuu kiajali tu. Hakuwahi na hajawahi kuonyesha UONGOZI kokote kule. UKRISTO na UTIIFU wake wa kiseminari ulimsaidia pia.Miaka ya nyuma nilikuwa nawaza kuwa Pinda ni mmoja wa viongozi makini,lakini kadiri miaka
ilivyoendelea kwenda nimeona ni kiongozi asiyefaa kabisa,kwani hana hekima hata kidogo
ya kumfanya kuwa waziri mkuu,kama anayo ni kidogo ya kuongoza familia yake tu"maana ni
mropokaji wa pointless kuliko Nape."
na hii iwe reminder kuwa hata huko walikoendelea hakuna viongozi wazuri wala wabaya bali wamezifanya sheria kuwa kama nyenzo za kuwabana hawa wajamaa!Miaka ya nyuma nilikuwa nawaza kuwa Pinda ni mmoja wa viongozi makini,lakini kadiri miakailivyoendelea kwenda nimeona ni kiongozi asiyefaa kabisa,kwani hana hekima hata kidogo
ya kumfanya kuwa waziri mkuu,kama anayo ni kidogo ya kuongoza familia yake tu"maana ni
mropokaji wa pointless kuliko Nape."
Pinda kachemsha, nasubiria kauli toka CDM, CUF, NCCR, LHRC, wanaharakati. So pathetic. Upuuzi huu. Wanahabari wamuhoji mama Anna Kilango a.k.a mama Willy@kumkoma nyani, kuhusu kuwatetea ma RC na DC katika uandaaji wa katiba na kauli ya kilaza Pindwa
Pasco hapo ndo kazi ilipo. maana hata waziri mkuu hataki kujishughulisha na elimu ya uraia. akina mimi tutakuwa wapi sasa?. likini maoni yangu ni kuwa hii inatokana na kuwa tuna viongozi wasiojua wanawajibika kwa nani. PM kama angefahamu anawajibika kwa nani asingezungumza maneno rahisi na potoshi kama yale. chukua mfano 2015 chama Y ambacho si CCM either kinashindwa kwa wazi au kwa kuonewa, vurugu inazuka, tunauana tunafikishwa kule kwa mahakama ya wale jamaa, unadhani Pinda kwa maneno kama haya atawekwa nje ya kapu kweli?. kwa maana haya maeno ni makali hayaWanabodi,
Kila nipatapo fursa, sipendi kabisa kukosa kipindi cha Maswali na Majibu ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo, Kayanza, Peter Pinda, ile leo nilikikosa kipindi hiki.
Lakini kupitia taarifa za habari, nimemsikia Mhe. Pinda, akisema kuwa ni jukumu la wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kuhakikisha CCM inashinda chaguzi zote ili CCM iendelee kutawala milele!.
Naombeni wajuzi wa masuala ya utawala, mnirekebishe if I'm wrong!, Kuanzia kwa rais JK na wanasiasa wengine wote ambao japo wamechaguliwa kwa tiketi za vyama, ukishakuwa mtumishi wa umma, paid by taxpayers money, jukumu lako kuu sasa ni kuutumikia umma na sio chama chako!.
Hii inamaanisha rais JK, japo ameshinda kwa tiketi ya CCM, na anaongoza serikali ya Tanzania, na wakati huo huo yeye ndiye Mwenyekiti wa CCM, amechaguliwa kuiongoza Tanzania na Watanzania na sio na wana CCM, hivyo anaongoza serikali ya Tanzania kwa niaba ya Watanzania na kwa manufaa ya Watanzania wote, na sio kwa manufaa ya wana CCM!. (Of the people, by the people and for the people).
JK ndiye rais wa Chadema, ndiye rais wa CUF na ndiye rais wa wasio na vyama kama sisi!. Yeye ndiye rais wa Dr. Slaa, yeye ndiye rais wa Prof. Lipumba, yeye ndiye rais wetu sisi wote kama Watanzania, ni rais wa waliomchagua na pia rais wa wasiomchagua, anatakiwa kufanya kazi kwa kutanguliza maslahi ya taifa mbele na sio maslahi ya chama chake cha CCM!.
Kauli ya Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda bungeni leo kuwa Wakuu wa wilaya na mikoa, wako pale kuhakikishe CCM inashinda chaguzi zote ili itawale milele, haiwezi kupita bila kupingwa!. Hi inamaanisha kuwa viongozi hawa, wako kwa ajili ya kuilinda na kuitetea status quo ya CCM ili iendelee kutawala milele!. This is very wrong kwa tafsiri sahihi ya Public Servants!. Kwa kauli hii ya Pinda, it goes without saying kuwa wakuu wa majeshi yetu, Polisi wetu, mahakama zetu na wakuu na vyombo vya dola, na vyombo vya kiserikali, wanateuliwa ili wahakikishe CCM haishindwi na inaendelea kutawala milele!.
Public Servant, ni mtumishi wa umma, ma RC na ma DC ni viongozi wa serikali, kwa maana hiyo ni viongozi wa umma, na watatimiza majukumu yao kwa maslahi ya umma na sio kwa maslahi ya CCM. Ndio maana Mhe. Tundu lissu aliwakataa hawa wasihusishwe ile tume ya katiba na juzi akasisitizwa hawapaswi kuwamo bungeni!.
Hata wabunge wa kuchaguliwa, ni watumishi wa umma, japo wanateuliwa kwa tiketi za vyama vya siasa, wanachaguliwa na wananchi na sio na vyama vyao, hivyo wakishashinda ubunge, wanakuwa ni watumishi wa watu na sio watumishi wa vyama vyao, hivyo wanapaswa kutekeleza majukumu yao ya kibunge kwa maslahi ya wananchi na sio kwa maslahi ya vyama vyao!. Kama ni kweli, majukumu ya ma RC na ma DC ni kuhakikisha CCM haishindwi, hii ina maana kubwa zaidi katika mustakabali wa mabadiliko halali ya serikali!.
Binafsi yangu, nimesikitishwa na kauli hiyo, and to be honest, nilikuwa na very high hopes kuhusu Pinda, lakini sasa nimeamini, he is good for nothing!, a very disapointing PM!. Kwa vile CCM ni chama tawala, hivyo public servants wana jukumu la kuhakikisha CCM inashinda na kutawala milele!.
Hii inamaanisha hata kama 2015, Watanzania wataamua kuivote out CCM kupitia njia halali ya ballot box, hao public servanys wenye jukumu la kuitumia serikali mpya ya chama kitakachoshinda, wako kwenye mind set ya kuhakikisha lazima CCM inashinda, na jee ikitokea CCM ikashindwa, jee watakabidhi madaraka kwa mshindi halali?!, jee majukumu yao yatabadilika or what does Pinda exactly meant?!.
Kusema ukweli, civic education kuhusu multipartism, inatakiwa kuanzia juu ndipo ishuke chini kwa wananchi wa kawaida!.
Sasa ndio nimeanza kuelewa, no wonder kwa nini jina la Pinda, halitajwi kabisa kabisa katika presidential materials!. Maliza tuu term yako kwa amani, ukaiendeleza ile kampuni yako ya P & P, nami nitakutangazia sana ile asali yako, ila nakuomba Tanzania yetu utuachie kwa amani, hii sio Tanzania ya CCM, CHADEMA au CUF!. Tanzania ni ya Watanzania wote.
Kiukweli, mabadiliko yakija, hizi nafasi za ma DC na ma RC ndizo ziwe za kwanza kufutiliwa mbali!.
Very Disapointed!.
Pasco.
NB. Pasco wa jf, ni Mtanzania wa kawaida ambaye sio mwanachama, mfuasi au mshabiki wa chama chochote cha siasa!. Ni mshabiki wa Utanzania kwa maslahi ya Taifa mbele!.
Wanabodi,

hakuna rais ambaye anataka kua na waziri mkuu mchapa kazi ili wasigombane. marais wetu wanataka waziri mkuu mpole na awe anakubali kila kitu yaani YES MEN. kipindi cha mwinyi alibadilisha mawaziri wakuu watatu [ warioba, malecela na msuya] sababu alikua anapingana nao. yeye ni mzee wa ruksa wakati waziri mkuu walikua sio wazee wa ruksa..Huyu mzee sijui hata kwa nini alipewaa uwaziri maana saa zingine namuona kama hajui nini anafanya maana mambo yake tu anaoneken mfata upepo kutoka mjengoni....
Hivi hawa ma RC na DC si ndio Anna Kilalgo aliwatetea kuwa wawemo katika uratibu wa katiba mpya? Fikiria sasa ni upendeleo kiasi gani kwa CCM watakao uonyesha! Vyeo hivi vifutwe kabisa ndani ya katiba