Yaah! hasa ukilinganisha na 10,000 wanazopata Drs wakiwa on call kuanzia saa9 jioni hadi saa 2 asubuhi ya kesho yake.Mimi naona 200,000 ni kidogo sana kwa mbunge, unless uwe umeshawekeza kama Zitto kwenye ma biashara mengine.
Hii ndiyo CCM bwana!