sit down daughter, these things are above your level. Let us your elders discuss it. Go and have a nice sleep!Ubunge ni kazi nzito, wewe unatumwa na watu wenye mawazo mbalimbali halafu unayachambua na kuwakilisha bungeni. Posho ingekuwa $500 kwa siku
Kaka napata wasiwasi na huwezo wako mtu anamuita member mwezake chizi wewe unamgongea LIkeThis is from Mh. Zitto Kabwe Zitto kwenye mtandao wake wa Twitter
Just informed that the PM had a meeting with Editors today and confirmed a new rate for sitting allowance to MPs ie 200,000 tshs a day.
The PM says, he was asked by the President to deal with the matter. It is against the law for a PM to approve new rates.
...
National assembly admn act 2008 provides nothing as sitting allowance to MPs. The allowance itself has no legal basis, mazoea tu.
I reiterate my stand that I will not take sitting allowance as I don't deserve it. The Prime Minister is totally out of touch. A backlash.
.......................
My take...
Huyu naye kweli ni mkulima (lugha ya watoto wa mjini kumuelezea mtu asiyejua kitu aka mshamba)....Sasa kama ni kinyume na sheria kwa waziri mkuu kuthibitisha ongezeko jipya la posho, yet jamaa anajiita ni mwanasheria kwa taaluma, hivi kweli tuna watu! Yaani inajua kabisa inaenda kinyume na sheria lakini bado inavunja tu sheria eti kisa mkuu wa kaya kamwambia alifanyie kazi hilo jambo...!!!! Yaani midude mingine bwana!
Mh. Zitto Big Up kaka na songa mbele na ikiwezekana tanzishe move ya kuzipinga hizo posho kwa countrywide strike kaka...Hapo tutajumuisha mambo yote ikiwamo kupanda kwa gharama za maisha...
Ndiya maana Madaktari wanaacha taaluma yao, wanakwenda kugombea ubunge.
Issue siyo pass mark au average! Hapa siyo secondary!hahahahaa.....pass mark ya UDSM ni bei gani? 40, 50 au 60?
Ulizia chuo chenye pass mark kubwa zaidi tz ni kipi halafu ndio uje kujisifu hapa.
Anayeona kazi nzito ajiuzuru na achie wengine ingekuwa ngumu wangekuwa wanakesha na kutoa takrima usiku na mchana kuutafuta ubunge na pia kuonga ushirikina na baadhi yao mpaka kuua albino wasio na hataUbunge ni kazi nzito, wewe unatumwa na watu wenye mawazo mbalimbali halafu unayachambua na kuwakilisha bungeni. Posho ingekuwa $500 kwa siku
Naona malaria sugu kakuambukiza malaria halafu ikawa severe malaria.Mimi naona 200,000 ni kidogo sana kwa mbunge, unless uwe umeshawekeza kama Zitto kwenye ma biashara mengine.
Kugombea ubunge ni haki ya kila raia... Ukihitaji hizo laki 2, 2015 siyo mbali!!
Dah imekula kwetu tena....kelele zoooote kumbe ilikuwa kazi bure!