PM atengwa mbunge apokelewa kwa shamra.

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Ni katika mkutano wa Pm katika viwanja vya Magomeni Mwanza.Mbunge amepokewa kwa shangwe kwa upande wa pm kukiwa kumepooza
 
Unafungua thread huku umechoka halafu na wewe unajiita Great thinker
Hutuambii mbunge yupi hapo Mwanza kuna wawili
hutwambii PM alionekanaje baada ya tukio hilo
Mkutano uliendeleaje baada ya wananchi kumpa cold shoulder PM aliongelea nini
siku nyingine kama huna cha kutuambia kaa na taarifa yako
 
Heri mimi sijaichangia hiyo thread kwani naona imekaa kama imetokea choo cha kike!
 
Back
Top Bottom