Plz...plz...plz..help m for this.....

King_Villa

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
574
378
Habari wana jf ,,naomben msaada wenu kwa hili jambo kwan limekuwa kama jaribu kwangu ...niko kwenye quolification ambazo naweza kwenda kusoma mojawapo ya kozi zifuatazo,,,1.computer eng 2.information tecnology 3.business information tecnology ......ila ikila ninapojaribu kuongea na watu kila mtu ananiambia anachojua so kama kuna wataalam walioosomea kozi hizo unaweza kuniambia au kunishauri kitu hapo na tukasaidiana kimaisha .....heshima kwenu wana j.f.................
 
Back
Top Bottom