Plz naomba ushauri nifanyeje

Ilikuwaje ukamuandikia sms huyo mlengwa ya kumtakia maisha mema?Haiingii akilini kumuandikia bint mwnzio sms ya kumtakia masiha mema lazima kilikuwa ni kidume tu! Anyway piga moyo konde na endelea kujishusha tu kwa huyo mpenzio ikiwezekana watumie rafiki zake wa karibu kutatua hili suala.

thanx 4 advice
 
Nimesharudi kutoka dodoma nipo Dar

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mtafute na uongee naye ili ujue kinachomsibu
Mm ni msichana miaka 26 nina mpenzi ana miaka 28 tunauhusiano kama miezi minne tulizoea kuchat sana kwa njia ya message so kuna siku nikakosea kutuma text. hiyo message nilitaka kumtumia rafiki yangu kuwa namtakia maisha mema nikakosea nikamtumia mpenzi wangu tangu siku hiyo nikimpigia simu hapokei leo siku ya tano. kwa sababu hapokei simu nimemuomba msamaha kwa kutumia maneno mbalimbali kama message 100 haonyeshi dalili za kunisamehe. naomba ushauri nifanyeje
 
Back
Top Bottom