Plots zinauzwa ziko dsm kibamba

FENI

Member
Jan 19, 2011
10
0
plots ziko eneo la kibamba zimepimwa (surveyed) zinauzwa square metre moja tsh 5,500 wahi conctact 0754 450803
 
Watu wengine washazoea vipimo vya kawaida kama 20x20,........................na kibamba ya wapi
sasa ukisema skwea mita unatuchanaganya,
 
plots ziko eneo la kibamba zimepimwa (surveyed) zinauzwa square metre moja tsh 5,500 wahi conctact 0754 450803

Wengine hesabu zimetukalia kushoto we sema 30x30 sh. ngapi tutajua
 
hivi skwea mita moja ni sawa na miguu mingapi,
nipo interested.ila ni kibamba ya wapi na ni umbali gani toka barabarani.
pia mahitaji ya muhimu kama maji na umeme vinapatikana umbali gani.
hilo tu,bado niko hewani nasubiri jibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom