Plots zinauzwa bei poa.

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
Viwanja viwili vinauzwa. Vipo Buyuni.
kila kimoja kina ukubwa wa sqm 780.
Bei ya kila kimoja ni sh 5mil.
Vyote vina hati miliki.
Kwa mawasiliano. 0171 114409
 
Viwanja viwili vinauzwa. Vipo Buyuni.
kila kimoja kina ukubwa wa sqm 780.
Bei ya kila kimoja ni sh 5mil.
Vyote vina hati miliki.
Kwa mawasiliano. 0171 114409

Are you serious? Kama ndio hii namba vipi hapa.
 
5m buyuni hii ndio bei poa??..kwa vigezo gani???..au kwa vile vina hati?...hati mbona kila mtu anaweza kuipata...anyway ,...acha u-dalali wako sema pei poa isiyozidi ..2m
 
Buyuni iko Chanika. Hivi ni viwanja wakivyopewa wale jamaa wa tabata dampo waliobomolewa na manispaa ya Ilala na wakalipwa 20 m. Sasa mwanaume kaamua kufanya biashara. Lakini kama kipo kwenye barabara kuu kwa milioni 5 naona siyo mbaya unaweza weka frames za maduka au kituo cha mafuta au???. Kapewa bure anataka kuuza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom