Plots (with Title deeds) in Buyuni and Kigamboni are for sale at throw away Prices

Wande, kama hizo plots ni zako basi nakupongeza sana, na kama kweli zina title deed, ndio kabisaaa hongera

lakini ngoja nikupe ukweli kidogo, nijuavyo mimi viwanja vingi vya maeneo hayo huwa vina offer na vochas tu halafu title unaandikiwa ukilipa hizo pesa... Hizo prices sio throw-away kabisa, kwani wizarani ni sh. 2-3M , na watu wa wizara wanagawiana vocha kumi-kumi na kunyima haki watanzania wenye mahitaji halisi ya ardhi halafu badae wanalangua kwa watanzania maskini we nye genuine problems. Pale wizarani kuna ka-ufisadi fulani

Ni kweli kabisa mkuu. Kuna jamaa kanunua kiwanja kwa mtu wa wizarani kwa 10m wakati yeye alikinunua kwa laki 9 tu, you can imagine.
 
Four plots are for sale now, three are located at Buyuni and one in new Kigamboni city.
Plot no 1. a comercial cum residentian plot which contain 1370 sq meter, Price Tsh 9,000,000
Plot no 2. Residential plot containing 1030 sq meter, Price Tsh 7,000,000
Plot no 3. Residential plot containing 980 sq meter,Price Tsh 6,000,000
Plot no 4. Residential plot containing 720 sq meter,Price Tsh 10,000,000(New Kigamboni City- Kibada)

For further inquiries; dpwande@gmail.com

Mkuu plot bado zinapatikana huko?
Bei zikoje?
Ni PM kama vipi
 
buyuni iko kama kilometa 50 hivi kuanzia kigamboni,
ni mwendo wa saa nzima na dakika kumi na tano,
barabara ni ya vumbi lakini inapitika.

Mkuu Bujibuji Buyuni haikoa kuelekea Pugu? Au ulimaanisha hiyo plot ya Kigamboni (Kimbiji)?
 
Back
Top Bottom