ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 107
There are two plots for sale in Buyuni Dar Es Salaam with clean titles, each is worth 5Million Tshs. Call 0754 85 82 45
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tangazo la biashara ili liwe effective ni lazima liwe self sufficient in such a way kuwa mnunuzi anapata picha ya namna bidhaa au huduma inafanana. Sasa hili tangazo lako mbona halina kichwa wala miguu?? Elezea kina ukubwa gani?? Kuna wengine hawafahamu hata Buyuni location (including wilaya gani na maeneo famous ya jirani). Hebu edit post yako na weka taarifa muhimu ili mtu aweze kufanya maamuzi si kupiga simu kupoteza pesa ya wadau hapa. Thanks.
Buyuni iko wilaya ya Ilala, mkoa wa DSM. Ukifika Pugu sekondari unaenda mbele sehemu inaitwa Kajiungeni then you turn left (Huendelei na barabara ya kwenda Kisarawe), ni kama unelekea Chanika on your left. Kuna viwanja vimepimwa na serikali vilikuwa kwenye mradi wa upimaji viwanja, 20,000 plots project,
Kwa hiyo ni plots surveyed and titled, each plot has 600sqm resting on block No. 18.
why are those plots so expensive? 5 million!...In 2007 I bought a plot in Buyuni (under the same 20000 plots project), 600 square meter, and I paid 600,000+ for it (at ministry of land)
isije ikawa ndio yaleyale ya mafisadi