Plot to assassinate Speaker Sitta

Edward Moringe Sokoine. I will never forget the incidence, so called accident!!!
 
Is this a Nigerialization of Tanzania? Serikali ya Nigeria ndio ambayo raisi wake amewekwa kapuni na watu wenye nguvu kuliko yeye. Leo hii imebidi azolewe kutoka Jeddah akiwa mahututi ili mradi tu Makamu wake asitawale na kuwaharibia wanaoitafuna nchi kitumbua chao.
  1. Hivi sio kuwa na sisi Tanzania tumefikia kama Nigeria, mahali ambapo serikali haina nguvu kuliko raia fulani wenye pesa?
  2. Kwa nini wabunge wanatishiwa maisha na serikali inakaa kimya tu?
  3. Is this why PM Pinda anayaogopa baadhi ya watu/majukumu yake?
 
Hivi baada ya kusikia mgongano unaokuja kati ya serikali namahakama kuu; halafu mkasikia Jaji Mkuu anapokea vitisho na kuomba ulinzi.. watu humu hawatoamini! Hawataelewa kwanini jaji mkuu ana wasiwasi. Kama serikali ya CCM itaanza mchezo wake wa kuzuia mgombea binafsi kwa kuchezea mahakama Watanzania kama makinda ya njia yanapofungua makanwa yao watafungua vinywa vyao kupokea kila kiletwacho na serikali..

"serikali imesema" ... Ndiyo

"serikali imesema".. ndiyo

"serikali imesema" ndiyo..

Hata kuuliza kama kisemwacho kina mantiki, ukweli, au ni cha kipuuzi! Leo hii hakuna anayeuliza yule dereva aliyemgonga yule Mbunge kule Iringa alipotolea wapi?
 
Ama kweli " bichwa vya wenda wazimu' . Hii nchi itaishia wapi.Bado kuna watu wanaiona Richmond ilikuwa halari. Na hiyo jaziba ya ndugu yenu Lowasa mpaka akajiuzulu, si kuwa aliona ameisha umbuka na hakuwa na nguvu ya kusimama tena mbele ya umma na kujieleza? Lait mngeliona jinsi wasiojua kuutumia huu mtandao wanavyotamani kufa ili waiache hii nchi. Ole wenu siku ya hukumu yenu nyoyo zenu zitajificha wapi. Pole sana Sita wachache tuko na wewe na mwisho tutawaumbua hao wanaofikiri kuwa kila siku ni Christmas. Machozi ya wanyonge hayamwagagiki hovyo . Beleave me or not. Days are numbered and that could be reversed.
 
Tatizo nadhani ni kwamba waliofanya ufisadi ni wengi na si Lowassa tu,kina EL ndiyo wali engineer,ama kwa kifupi ndio masterminds....Uwajibikaji wa kweli ukitake place wataondoka wengi,jambo litakalopelekea kuwa na viongozi wapya kabisa....Wengine wenye kufavor mafisadi wanatafsiri kuwa ni "Kuyumba" ama "mpasuko" na kwahivyo wanapendekeza "Upatanishi" kama suluhisho na kudown play issue nzima kuwa ni "Ugomvi binafsi" dhidi ya viongozi.

Inavyoonekana serikali ama chama kwa ujumla kimekuwa infected kiasi cha kwamba hatua za kweli zikichukuliwa itakuwa ni sawa na "kuzaliwa upya" kwa chama na hivyo wengi kupoteza maslahi huku wakiwa na wasiwasi wa hatua zitakazofuata dhidi yao once wakiwa out of power,hiyo kwao ni kama nightmare and they will fight it tooth to nails.

Tunakoelekea,kama ni kweli wananchi wanataka haki itendeke,basi ni lazima wafanye mabadiliko kwenye uchaguzi ujao kwasababu ukweli ni kwamba uwezo wa viongozi hao na chama chao kujibadilisha na "kuzaliwa upya" unazidi kudidimia kadri siku zinavyozidi kwenda kutokana na misismamo mbali mbali ya chama na serikali.
 
Hivi nyinyi watu..mnatarajia gazeti lidanganye issue kama hii ili nini.....au hamuelewi uzito wa maneno kama yale yaliyoandikwa? Tumain..na wenzako nafikiri nyie pia ni mafisadi ndio maana macho yamefungwa kabisa hamuoni tena......WIZI MTUPU.......kalagabaho. Kitu kama hicho azushiwe mtu ili iwe nini? mbona hakuna aliyekanusha???
 
Back
Top Bottom