Plot inauzwa kisukuru juu

LadyGaga

New Member
Nov 10, 2009
4
0
Kiwanja kinauzwa kisukuru juu njia ya gereza la segerea ,ukubwa ni nusu eka, kimepimwa bei ni million 25, maongezi yapo
 
Bei ni kubwa sana! Mimi nimefika Kisukulu mara 1 tu nilipapenda kwani nadhani\natumai kuwa ni The Highest point in Dar ambayo unaona sehemu kubwa ya Dar kuliko yoyote yaani niliweza kuona Maeneo ya Mikocheni,Masaki,Oysterbay,CBD hadi Mbagala na nyuma Mbezi ya Kimara tatizo ni miundo mbinu ya kufika huko... Lakini Jiji lingekuwa na mipango enzi hizo pangestahili bei hiyo... mjumba mengi ya huko yamejengwa kiholelaholela...
 
Kisukuru juu kweli kuzuri, ukiwa kule unaiona dar nzima. Ila hii bei ni too much.
 
bei kali kwetu sie , kwa wengine mh, watakuwa wameshapiga simu na kumtuma houseboy akanunue

Hii bongo iangalieni hivi hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom