Plot for Sale

Jeni

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
200
12
Plot for Sale Salasala Kinzudi:
5299sq meter kina Offer Kilomita 6 kutoka main road, kutoka Mwenge 14kms Bei 60m. Kinaweza kugawanywa mara nne kila robo ni 17m
 
Ndio maana sina mpango wa kujenga, mil 60? Miaka yenyewe ya kuishi nimebakiza ka-muongo kamoja na ushee..

NB: Wenye pesa zenu karibuni mjinunulie zenu bana nilikuwa natania tu.
 
Mimi nahitaji kiwanja katika mojawapo ya maeneo yaliyopimwa huko Kigamboni. Nikipata cha low density nitashukuru zaidi. Kama unacho au rafiki au ndugu yako unayemfahamu anakiuza ni-PM tuongee.
 
Last edited:
Jamani maelewano yapo, nitafutieni wateja
 
mil.60 nanunua kiwanja cha mil.2 mabagala na kujenga nyumba kali ya mil.30 afu zinazobaki nafanya investment.Subiri mafisadi wakusaidie.....
 
Hicho kiwanja kiko mbali na barabara kwa bei hiyo dah? tusiusimee moyo lakini wapo wanaoweza kununua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom