please

Pearl yaani AVATAR yako inavyoangalia kwa mahaba mahubati hakyanani ningekuwa na smoke ningeacha hapo hapo
 
ntakupigia darling,nina kazi za mdosiiiiiiii,nikitoka hapa ntapita sokoniiiiiii,zen mtakupikia msosiiiiiiiii.Mmm na ww ni kitu kimojaaaaaaaaaaaaaaaa
Pearl naomba unipigie. You knoo woram seyying?
 
ntakupigia darling,nina kazi za mdosiiiiiiii,nikitoka hapa ntapita sokoniiiiiii,zen mtakupikia msosiiiiiiiii.Mmm na ww ni kitu kimojaaaaaaaaaaaaaaaa
Mimi na wewe ni kitu kimooojaaaa!

Nipigieeeee.......... Lulu yangu nipigieeeee....
Nisikie sauti yaaaaaakooooo!!
 
sauti leo inegonjekaaaaaa,nenda kwenye thred ya hisia zako kule ujibu swali
Mimi na wewe ni kitu kimooojaaaa!

Nipigieeeee.......... Lulu yangu nipigieeeee....
Nisikie sauti yaaaaaakooooo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom