Please TRACE me...

yeah au ukipata email its very very easy to get traced....

Kama ana bomu "zito" la kweli anataka kulishusha jf na ana wasi wasi kuwa traced na maisha yake na bomu na lina manufaa aende iinternet cafe sehemu asiyojulikana afungue account mpya ya jf amwage bomu lake............................

Unatumia Ip Address ifuatayo

IP ADDRESS: 41.221.62.46 (Static)
ISP wako ni WIA TANZANIA

Nitakufahamisha email address yako unayotumia ni ipi.

mh!! MKUU

kama utaweka dau sawa ila for free nooo way!!

as long as najua kuwa wewe ni mtaalamu wa computer na pia umejaza detail za uwongo mtupu kwenye JF then nitatumia mbinu mbadala(WE GO OFFLINE)!!!!

Hadi sasa nimegundua kuwa wewe ni mwanaume! rite? Sasa fikiria wanaume tuna vichwa viwili! rite?

so kwa vile kichwa chako kikubwa kina akili na kipo carefull na wewe ni mkuu..itakuwa ngumu kuku trace kupitia JF . so itabidi tutumie kichwa chako kidogo ambacho hakina Brain!

Nimegundua unapenda Bia....so kukutrace ni kufungua account humu JF kwa kutumia jina zuri la kike na kuweka picha ya toto moja matata sana.

Halafu nakuwa na tupa sana comments uwanja wa mapenzi na mahusiano.kuwa nipo mpwekee na jinsi gani napenda Beer!!!! halafu naku add kama rafiki najua hutachomoa na utaanza porojo kwa PM nitajifanya nachomoa chomoa na kuogopa wanaume kwamba wamenitenda sana!!

then tutapeana namba za simu ukipiga nampa kicheche mmoja mkaleeee apokee na akuzingue kinoma na nampa elfu 50 tu si unajua mabaamedi ...mwenyewe utataka kuonana na utaanza kumwaga mambo yako na detail zako zitafataa....So mission kama hii nio simple ila ina cost pesa za kumpa huyo binti na muda kama mwezi hivi....HAPO VIPI MKUU?!! Ila sasa mtu akiku TRACE hivyo Lazima kuwe kuna deal la maana...

hahahahaaa

Unatumia Ip Address ifuatayo

IP ADDRESS: 41.221.62.46 (Static)

ISP wako ni WIA TANZANIA

Nitakufahamisha email address yako unayotumia ni ipi.

jux amejaribu sana na hapa nasubiri anipatie mail address yangu, so far kuna waliotrace kuwa natumia Airtel, vodacom na Wia kama isp. Bado sijaridhika kwa kweli. Jux mwaga uhondo mkuu

mimi ninaweza kukutrace but...but it will take time cause its hard to find out just kama hivi,lakini wewe unatumia Vodacom Internet ryt?your IP Starts with 41.222.XXX.X,halafu to trace you will need me to create another account halafu uwe haujui..yani hauko aware kwamba kunamtu anakutrace

jaribu mkuu. Mpaka sasa sijapata wa kunidaka. Jamani twende kazi

Yeyote anitrace tafadhali nimeshatoa angalizo tuwe huru. Taja IP address yangu, pc/mac name, runing system, email and my name. Sijajificha ingawa naweza kufanya hivyo (hide your ip software). Nahitaji kuwa traced hapa, Mtazamaji alijaribu ingawa ilinipasa nikaangushe comment kwenye site yake. Jux ametoa mwanga kwa mbali sana.

Mkuu kama upo serious Dondosha email yako hapa au kwa PM. Ila kukutrace kwenye JF sio simple. ingekuwa hivyo asingeingia mtu online. ni sio faster kivyo inachukuwa muda kuwa totally hacked. so me i wana take the bet.

hii hapa wandima@jamiiforums.com

USELESSS EMAIL!!! ndani ya JF sio rahisi kuwa Traced!! hataa email ya Jf still no trace labda mode au mkuu aaamue kutoa email yako kwa mtu ambapo pia sio kitu rahisi mtu akipata email ya nje lets say ya yahoo. atakupata sooon kwa Social engineering..So jibu la swali lako mkuu HUWEZI KUWA TRACED UKIWA JF ...u are SECURED ila mtu anaweza kufatilia post zako zote ulizo wahi kupost humu JF na kujua wewe ni mtu wa aina gani na kama ulijisahau sehemu huko nyuma ukatoa contacts then it will b possible to be traced

Hii ndo kusema humo kwenye BOLD nikiwa JF niko SAFE zaidi au?

Unatumia Ip Address ifuatayo

IP ADDRESS: 41.221.62.46 (Static)
ISP wako ni WIA TANZANIA

Nitakufahamisha email address yako unayotumia ni ipi.

nimesubiri sana mkuu Jux!!

kuna mshikaji alishawahi kanzisha uzi wa jinsi gani tunajua mtandao wetu wa jf uko salama na yeye sijamuona akichangia au kashindwa..

Wandima kwanza ulituzuga kusema wakati unasajali ulisajili kwa email ya wandima@jamiiforums.com ulivyoulizwa email ulipotea kama siku mbili. teh teh teh

Unachofanya sasa ni sawa unavaa bullet proof alafu unasema mtu akupige risasi . Unaweza kujeruhiwa lakini ni kazi ngumu . Kama ningekuwa mod nikapata ile email uliyosajili nayo mwanzo siyo hii ya kisanii uliyotoa. may be nikasoma hata PM zako sijui PM za watu hapa JF kama ziko encrypted teh teh teh.

Yaani ni hivi kwa member tu wa jf kuku trace ni kazi ngumu sana tena sana tu . kwa mod wa jf ni kazi ngumu kidogo( integamea na activity zako jf ). kwa serikali it can be just a matter of days

But anyway assume kuwa haiwezekani

Kiukweli sijazuga, hiyo ndo mail yangu. Kama una nyingine nitrace au omba Mod wafanye hivyo hata kwa PM

Yaani ni hivi kwa member tu wa jf kuku trace ni kazi ngumu sana tena sana tu . kwa mod wa jf ni kazi ngumu kidogo( integamea na activity zako jf ). kwa serikali it can be just a matter of days

Nilikudondoshea msg kwenye site nako ukashindwa sio? Mbona kule pia hukuweza?

But anyway assume kuwa haiwezekani

Sitaki Kuassume wakati inasemekana inawezekana

Mtazamaji, Jux aliahidi kunipatia mail yangu na nimesubiri sana sijaipata

Nilikudondoshea msg kwenye site nako ukashindwa sio? Mbona kule pia hukuweza?

Sitaki Kuassume wakati inasemekana inawezekana
Hahahhaha Utakataaa lakini nina uhakika zaidi ya 70% siku ya mwanzo wakati unasajili hukusjaili kwa email adress hiyo. atleast ungetaja emai nyingine......

Mkuu kule kwenye ka site kangu profie yako haina activity za kutosha kuwezesha kuwa na info za taarifa za kiitelijensia teh teh teh. Kuwezekana kujulikna hilo liko wazi . Unless huelewei maana ya neno network. Na serikali ndiyo iliyo katika best postion kufanikisha hilo katika muda mfupi.

Yaani kitendo cha kuwa conneted tayari ujue wewe ni tracable. Ni kiasi cha kuwa na reourcces sahhii na ziwe accesible . Mfano kwa serikali au ningekuwa network engineer wa WIA naweza kuwauliza wanipe data zaidi za mteja wao anayeonekana natumia sana jf.. Inawezekana hiyo IP dress inatumiwa na watu wengi lakini inawezeana ku dig deeper. ku idnetfy traffic za client fulani( Wandima kulingana na IP yake)

kama unataka kujaribu na kuhakikisha fanya yale kama aliyofanya ze utamu uone. I mean do something really messy .sio tu Kumuita Kikwete ****** au Dr Slaa mhuni . teh teh teh

Mtazamaji, Jux aliahidi kunipatia mail yangu na nimesubiri sana sijaipata

hahahaha labda kama ana ana uhusianao na ISP unayemtumia na yenyewe ni kazi. But ISP ni key player manaa traffic za IP adress yako na MAC adress yako akiuganisha na kuzifanyia reasearch anakuwa close to know who is wandima.

Isingekuwa rahisi kihivyo wala haiwezi kuwa rahisi kihivyo kwa Jux kunipata. Nasema hata serikali itawachukua kazi kweli kunipata au wasinipate kabisa. Ze Utamu alitumia Blog na hata alipokuwa na site lazima aliisajili na labda hata jina la malipo ya site lilikuwa lake kwangu ni tofauti

siku ya WIA ISP nilikuwa kwenye office yenye Wireless network nikai-hack kisha nikawa sijaficha IP yangu ili niwe traced kama ingewezekana lakini ikawa ngumu pia

Back
Top Bottom