Please study it carefully

du kweli si mchezo, yaani sasa tuseme ni vimiminika au sijuhi ni vinywaji?, lakini mimi nimeelewa kwamba hiyo chupa ya kwanza inaonyoesha jinsi ulivyokuwa mtoto ni maziwa tu, hiyo ya pili inaonyesha umekuwa kidogo na mzee ni mambo ya soda tu, hiyo ya tatu nadhani sasa mtu mzima umeshakama job na visenti vinaingia kwa hiyo unapata kitu roho inapenda
duu hiyo ya mwisho nadahani watu wanahesabu sekunde tu leo au kesho,

tehetehetehe
 
Chunguza picha hiyo kwa makini

mwe usitukumbushe kifo!!!
kila mara jua linapokuchwa, unakuwa umepiga hatua moja kuelekea mauti! mweh! nilizaliwa bila kutaka lakini STAKI KUFA! hari yao ambao bado wapo kwenye chupa ya pili, walio kwenye chupa ya tatu ikiisha tu wanatinga ya nne muda wowote, tena ikonusu? mwe! sjui ndy kadedi huyo!
 
mambo ya sheikh yahya haya sasa mboNA SION NYOTA YANGU??
 
Back
Top Bottom