PLEASE RESCUE ME.. najisikia kukata tamaa

Pole Sana mkuu kama wewe ni mkristu (Roman Catholic) kuna kitu kinaitwa NOVENA huwa zinasaidia sana nakushauri uanze au kama ni mwislamu najua na wao wana njia na swala zao hasa ukiwa kwenye matatizo kama haya cha msingi wakati wa matatizo si muda wa kujiongezea matatizo mengi juu yake maana pombe unajiongezea mzigo zaidi.

Kweli kabisa, NOVENA inasaidia sana, mimi nilisali NOVENA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU, kwaajili ya kutafuta kazi nilipomaliza tu nikaitwa kwaajili ya interview na kazi nikapata.
 
Kweli kabisa, NOVENA inasaidia sana, mimi nilisali NOVENA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU, kwaajili ya kutafuta kazi nilipomaliza tu nikaitwa kwaajili ya interview na kazi nikapata.
Na tena zipo NOVENA za aina mbalimbali so inategemea huyu mwenzetu kama ataweka jitihada za dhati kuzisali hizo NOVENA ili matatizo yake yaweze kupata ufumbuzi
 
Wandugu tafadhalini naombeni ushauri nifanye nini mimi kijana wenu..nilimaliza chuo kikuu mwaka 2008, nikabahatika kuajiriwa baada ya mwaka mmoja.baada ya ajira nlijiwekea malengo kadhaa lakini mpaka sasa sjatimiza hata moja. Mazingira ya kazi ni magumu sana nafanya kazi 12 hours kwa siku sita. Nimepoteza kabisa morale ya kazi na nataka kuacha kazi ila sijui ntaishi vipi ..mahusiano na mpenzi wangu yamevurugika nimekua mbali sana na familia. Nilikua sinywi pombe ila sasa nakunywa tena kila siku..
Toba yani 2008 ndio umemaliza chuo kwahiyo hata miaka 3 bado umeshachoka kazi?! Wenzio wana 10yrs kazini wanafanya kazi masaa 17 kwa siku tena maporini mazingira magumu kuliko
yako na hawalalamiki, tatizo huna majukumu wewe au wewe mtoto wa mama hata ukiwa jobless maisha yatasonga mbele embu komaa kiume kijana

wewe na bado hawajachoka kazi
 
asante mama paroko kwa ushauri makini...naomba the finest azidadavue hizo aina za novena ili nielewe zaidi ip itanifaa..loly kazi yenyewe ni out ya niliyosemea chuo..na kazi yenyewe unakua juani mda mwingi ..aisee acha tu..
 
chokochoko ...hao wenzangu ni wewe au? hivi kama mtu anapasua mawe na yuko ok nami nipasue mawe maana ya elimu yangu nini sasa?
 
Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; Nitakushauri, jicho langu likikutazama. zab(psalm)32:8
 
Wandugu tafadhalini naombeni ushauri nifanye nini mimi kijana wenu..nilimaliza chuo kikuu mwaka 2008, nikabahatika kuajiriwa baada ya mwaka mmoja.baada ya ajira nlijiwekea malengo kadhaa lakini mpaka sasa sjatimiza hata moja. Mazingira ya kazi ni magumu sana nafanya kazi 12 hours kwa siku sita. Nimepoteza kabisa morale ya kazi na nataka kuacha kazi ila sijui ntaishi vipi ..mahusiano na mpenzi wangu yamevurugika nimekua mbali sana na familia. Nilikua sinywi pombe ila sasa nakunywa tena kila siku..
dawa ya matatizo ni suluhu na sio matatizo ju ya matatizo.
mpaka sasa umengeza tatizo moja la kunywa pombe kwa kua unasema ulikua hunywi.
jiulize, hivi kama sasa hivi pamoja na kua na hyo kazi maisha yako yapo hivyo yalivyo, je usigekua na japo hyo kazi??
ushauri wangu ni kua kabla ya kufanya maamuzi linganisha kwanza pande mbili (faida na hasara za maamuzi) za matokeo ya maamuz hayo.
ni changamot chanya kama kijana kufikiri namna unavyoweza uboresha maisha yako mbali na ajira.
me hua nawaza kila siku na kumwomba mungu anijalie siku moja niishi kwa kujitegemea na hata niajiri vijana wezangu,
lakini kabla ya kufikia kaucha kazi unaytakiwa ujue kwanza aunaacha kazi na nakwenda wapi kufanya nini?
je, kitakua na faida (kiuchumi, kijamii na materally and non materially) zaidi ya hapo ulipo sasa?
nakushauri utulie kwanza bro/sista then ufikirie vizuri.
 
asante lolyz kwa neno la mungu, asante mkuu tasia..ntajitahidi kuachana na hilo wazo la kuacha kazi..galfriend angu alikua amenishauri niache kazi ila naona hoja zenu zina nguvu zaidi ..
 
asante mama paroko kwa ushauri makini...naomba the finest azidadavue hizo aina za novena ili nielewe zaidi ip itanifaa..loly kazi yenyewe ni out ya niliyosemea chuo..na kazi yenyewe unakua juani mda mwingi ..aisee acha tu..
Mkuu nenda Kanisani uombe wakupe NOVENA wanakuwa wanazo za aina mbalimbali kutegemea na shida na tatizo lako lilivyo
 
pole sana mkaka! katika maisha shetani humjaribu binadamu kwa njia nyingi! mfanye mungu akue rafiki yako! naamini mambo yataenda sana!! pole sana
 
nahisi nakufahamu vile, ila pole sana kaka omba mungu sana panga mipango yako vizur pia acha pombe
 
Wandugu tafadhalini naombeni ushauri nifanye nini mimi kijana wenu..nilimaliza chuo kikuu mwaka 2008, nikabahatika kuajiriwa baada ya mwaka mmoja.baada ya ajira nlijiwekea malengo kadhaa lakini mpaka sasa sjatimiza hata moja. Mazingira ya kazi ni magumu sana nafanya kazi 12 hours kwa siku sita. Nimepoteza kabisa morale ya kazi na nataka kuacha kazi ila sijui ntaishi vipi ..mahusiano na mpenzi wangu yamevurugika nimekua mbali sana na familia. Nilikua sinywi pombe ila sasa nakunywa tena kila siku..

Pole sana gambagumu kwa hayo yote na wengi wetu tumepitia huko hivyo ni kumuomba Mungu kwa juhudi zote.

Ushauri!

1. Hautakiwi kuacha kazi kama huna kazi nyingine ila unachotakiwa ni kuomba kazi sehemu nyingine/kwenye makampuni kwa juhudi zote, sababu hamna kazi itakayokufuata huko kazini/nyumbani. Wengi wetu kama tumeona kuna nafasi ya kazi sehemu fulani na unataka kupeleka application yako huwa tunaomba ruhusa ya kuwa sijisikii vizuri na hivyo sitakuwepo kwa siku fulani/husika. Kwa njia hii mimi nilifanikiwa maana nilikuwa nabanwa sana kule kwenye kampuni ya wahindi. Jaribu hivyo nahisi utaitwa tu kwenye interview kama unavyo vigezo vyote vya kazi hiyo.

2. Acha pombe haraka sana sababu haipunguzi matatizo bali ni kuongeza, tumia hiyo hela kuomba kazi sehemu nyingine. Au hiyo hela ya kunywea pombe itunze na ufungue mradi ambao hautakukosesha hela (hii inategemea na mazingira unayoishi).

3. Jaribu kujiendeleza kielimu kama inawezekana.

wapedwa evarm na maswagga nashukuru kwa ushauri wenu..mnanitia moyo sana..asante kwa kushare expirince yako evarm...ntaanza kufanya tena napplicationa na kuomba mungu ili nipate kazi ambayo angalau nami ntabaki na ubinadamu wangu maana hii imenifanya kama roboti..imechukua matumaini yangu..upendo wangu..na amani yangu..asanteni tena sana
 
hapo mchawi wako ni pombe,acha na utaifurahia kazi yako!hakuna kazi rahisi,acha kazi na utaona kazi yake
 
asante lolyz kwa neno la mungu, asante mkuu tasia..ntajitahidi kuachana na hilo wazo la kuacha kazi..galfriend angu alikua amenishauri niache kazi ila naona hoja zenu zina nguvu zaidi ..
girlfriend wangu......my foot! Akikushauri uache kazi na wewe unaacha? Una kaka au ba mdogo ambaye mko close?hebu mweleze haya uone atakwambia nini?
Mi ningeongea ningekushauri kitu lakini nahisi hatutaelewana.
 
be free to speak out bisanga..i'm ready to take it be sweet or bitter..i need yuo advice
 
Back
Top Bottom