Elections 2010 Please Naombeni Jibu.

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
Hivi Dr.Slaa atafanya nini baada ya uchaguzi??Cos muelekeo wa upepo unaonyesha hatakuwa Magogoni.Any idea???
 
Hivi kikwete atafanya nini baada ya uchaguzi? Maana habebeki hata kwa mbeleko.....
Kwani wengine wanafanya nini baada ya uchaguzi?
hivi dr.slaa atafanya nini baada ya uchaguzi??cos muelekeo wa upepo unaonyesha hatakuwa magogoni.any idea???
 
Kikwete atapata aibu kubwa this year....wananchi wamekosa matumaini....!
 
Bora awe rais kwani bila hivyo maisha ya ccm yatakuwa hatarini zaidi kwani mpaka sasa wanatafuta sumu kwani binadamu pekee anayewakosesha usingizi wa ulaji ni dr.slaa ndiyo maana mpaka wameamua kutumia pesa walizoiba epa kuamua hata kusambaza vijarida vya bura kueneza uzushi na mambo binafsi.......................bora tu awe rais kwani akina makamba hawatasalimika tena...........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom