Please mwenye key za kiswahili- English Dictionary naomba anisaidie

Ndugu zangu mwenye key za hiyo software naomba anisaidie Asanteni
.
Mkuu Hakikwanza sijui nini nyasiro Fatma Bawazir
.hii kamusi ya TUKI nilishawahi kuipost hapa JF ... hii ndio yenyewe sasa kama wewe unataka hiyo tu haya ila kama unataka hii basi ngoja nikopi ile post yangu ili na wewe uipate


WanaJF!

Habarini wote!

Kutokana na maombi ya watu wengi waliokuwa wanatafuta hii KAMUSI (Dictionary) ya TUKI - Kiswahili kwenda Kingereza naKingereza kwenda Kiswahili.

Kuliko kum-PM mtu mmoja mmoja nimeona ni-i-upload into external servers ili kila mtu aweze kui-download kwa maendeleo ya kila mmoja wetu.



Link yenyewe ni hii hapa (download):


http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip




N.B: nime-izip, kwa hiyo uki-download just unzip it alafu uitumie.

Kama ukiona post hii imekuwa ni ya msaada kwako
si mbaya ukagonga kile kidude chetu cha LIKE!.

All the best!
 
Mkuu hata mimi nina shida na key za hii inayojifunga baada ya dakika chache, kisha inanidai key.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom