Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
I would like to know the proccess for UK VISA application. I am going there for a normal visit
Wewe una matatizo na nafikiri hutaki kujua kama una matatizo! unauliza mambo ya VIZA kwenda Uingereza wakati kila kitu kipo mtandaoni? kama upo Dar sie uende Ubalozini au kama uko mbali si uangalie kwenye website yao nina uhakika kwa maana wana uelewa mkubwa sio kama wako wameweka maelezo yote humo! usitupotezee muda!I would like to know the proccess for UK VISA application. I am going there for a normal visit
I would like to know the proccess for UK VISA application. I am going there for a normal visit
Wewe una matatizo na nafikiri hutaki kujua kama una matatizo! unauliza mambo ya VIZA kwenda Uingereza wakati kila kitu kipo mtandaoni? kama upo Dar sie uende Ubalozini au kama uko mbali si uangalie kwenye website yao nina uhakika kwa maana wana uelewa mkubwa sio kama wako wameweka maelezo yote humo! usitupotezee muda!
Hapana sikubaliani na wewe, ni lazima ni mwambie ili siku nyingine asumbue akili kidogo kabla ya kuamua kufanya jambo vile vile ni kwa faida yake! Ameweza kuitafuta JF kwenye mtandao ashindwe kugoogle Ubalozi wa wa nchi?Ungesoma na kuignore mkuu wangu nadhani asingekupotezea mda, ila ungemjibu kiustaarabu ingekuwa vizuri zaidi, wengi wapo mjini ila hawajui mambo ya mtandao kama wewe...