Please help: Inferiority complex

Mi huwa nawaambia watu/watoto sana sana.
Historia tayari imeshapita, sasa una choice ya jinsi ya kuishi dakika ijayo.

Hebuinagalie dakika ijayo, je umeziona options zilizo mbele yako?
- mojawapo ya options ni kukaa kwa huzuni na kulaumu historia yako ila kuna nyingine pia.
wakati wewe unalalamika uliksoma kwa shida, hebu chukua dakika chacheaa wakumbule wale ambao sasa ni watu wazima kama wewe ambao hawakuipata hio fursa!! waonee huruma kwanza.

Anyway, do not take life too seriously!!!
 
Back
Top Bottom