Please Help a Brother out

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,997
Habari za jioni,

Guys, nina big concern here...Hop wengi wenu mpo ndoani na mna experiance na haya mambo. Mke wangu ni professional biologist( anafanya kazi kama pharmacist- ila kasoma mambo ya herpetology na akaminor pharmacy).
Jana tulikuwa na discussion ya family planning na anasema pills hucomplicate hormonal processes na kumfanya asiwe na regular cycles, awe anachoka sana, loss of appetite na pia inaweka chances za sisi kupata watoto mashakani.

Kwa hiyo alileta suala hilo under discussion ili tubadili njia tuliyokubaliana in the begining na tutumie natural ways ya kustudy her cycle. Kwenye hayo mambo mi simbishii kwa sababu anajua more than I, ila nikamuambia labda aje na solution nyingine kwa sababu hii huwa inakuwa ni ya kubahatisha sana...
akaniambia labda tutafiti njia zote then next time tupresent na tuamue ipi inafaa...

Nikaona its better nimek proper use ya hii forum.Please niibieni maujanja mwanandoa mwenzenu, what way has proved success to you?
Any experience please?
 
tumia mzunguko na kondomu kwa pamoja.
Angalau ndio zina madhara nafuu nikilinganisha na hizo zingine.

Lakini hizo zingine, mie simo kwa kweli, na wala siwezi mshauri mtu wangu wa karibu atumie.
 
Mimi sijawahi tumia hayo mapills wala sindano; ingawa sijui kiundani madhara yake lakini my insticts inaniambia lazima zina madhara!

Miaka 5 niliyoishi kindoa, nimetumia natural ways tu na condom inapolazimika.

Kama dates zake ziko regular na anajijua vizuri of course kwa ushirikiano wako you should be fine.
 
Kaunga thanx a lot maana unawasaidia wengi
Huo ni ushauri mzuri sana
 
Last edited by a moderator:
tumia mzunguko na kondomu kwa pamoja.
Angalau ndio zina madhara nafuu nikilinganisha na hizo zingine.

Lakini hizo zingine, mie simo kwa kweli, na wala siwezi mshauri mtu wangu wa karibu atumie.

Kondom kwa wanandoa? Ngumu kumesa. Ila kwa ilimu yao wanashindwa kweli kucheza na mzunguko kweli? Yaani tarehe za hatari za mama na za baba wanashindwa kucheza nazo?
 
U r always welcome, umemsoma na Kongosho, tunashare mtazamo sijui na ukatoliki unainfluence kidogo?

Nimemsoma dear na amepokea like yangu kubwa tuu
Japo babu Asprin anashangaa condom kwa wanandoa ila inapobidi mkuu Asprin unatumia
Unakuwa huna ujanja wakati hutaki la kutokea litokee
 
Last edited by a moderator:
U r always welcome, umemsoma na Kongosho, tunashare mtazamo sijui na ukatoliki unainfluence kidogo?

Ukatoliki hauhusiki hapo. Tutake razi! Wakatoliki hatuabudu wala kuiamini kondom. Futa kauli yako kabla sijambeep Simon Petro.
 
Last edited by a moderator:
Nimemsoma dear na amepokea like yangu kubwa tuu
Japo babu Asprin anashangaa condom kwa wanandoa ila inapobidi mkuu Asprin unatumia
Unakuwa huna ujanja wakati hutaki la kutokea litokee

Cant swalow that. Miaka yangu 11 ya ndoa sijawahizidiwa kiasi hicho eti mpaka niombe msaada wa kondom. Usiifanye ngono ikutawale afu chunga tamaa mbaya!
 
Last edited by a moderator:
Ukatoliki hauhusiki hapo. Tutake razi! Wakatoliki hatuabudu wala kuiamini kondom. Futa kauli yako kabla sijambeep Simon Petro.

I meant to add 'kasoro kwa matumizi ya condom tu'

Usimbeep, nitaenda kuungama kwa Kaizer!
 
Last edited by a moderator:
I meant to add 'kasoro kwa matumizi ya condom tu'

Usimbeep, nitaenda kuungama kwa Kaizer!

Hahahah lol huyo atataka umwelekeze kwa vitendo kondom inatumikaje kabla hajakupa kitubio. Chezeya Kaizer weye?
 
Last edited by a moderator:
kuna watu mizunguko yao haiko vizuri au hawana uelewa wa kuielewa.

Ndomu mbona kawaida sana
tena unakuwa unanunua box zima
na hii huwa kazi ya mama, lazima akumbuke kwenye bajeti kama vilivyo vitunguu au nyanya.

Kondom kwa wanandoa? Ngumu kumesa. Ila kwa ilimu yao wanashindwa kweli kucheza na mzunguko kweli? Yaani tarehe za hatari za mama na za baba wanashindwa kucheza nazo?
 
ha ha he he he he

chunga tamaa mbaya, umenichekesha.

Cant swalow that. Miaka yangu 11 ya ndoa sijawahizidiwa kiasi hicho eti mpaka niombe msaada wa kondom. Usiifanye ngono ikutawale afu chunga tamaa mbaya!
 
Kondom kwa wanandoa? Ngumu kumesa. Ila kwa ilimu yao wanashindwa kweli kucheza na mzunguko kweli? Yaani tarehe za hatari za mama na za baba wanashindwa kucheza nazo?

What wrong with condom??
 
Kondom kwa wanandoa? Ngumu kumesa. Ila kwa ilimu yao wanashindwa kweli kucheza na mzunguko kweli? Yaani tarehe za hatari za mama na za baba wanashindwa kucheza nazo?

Kaka mkubwa, kuna vyakula na normal hazards which tends to interfere with the cycle. Wewe fikiria nikipata ajali moja tu katika miaka miwili what will happen? Kwa nchi hii ya CCM nawaleaje wanangu?
 
Back
Top Bottom