Please Could You Be Honesty to Us?

Here is the secret,
1. Know my LOVE body language.
2. Know my likes.
3. Know my dislikes.
4. Adjust yourself to relate to me in accordance to the above 3.
 
Napenda sana uwazi tena uliopitiliza siwezi kamwe kushindwana na mwanamke muwazi kama mimi nilivyo yaani namaanisha hata kama amegawa jana akisema ukweli nitamsamehe na kutafuta sababu ya kwa nini aligawa utamu wangu kwa mwingine na kama ni udhaifu wangu nirekebishe na kama ni wake nimsaidie lakini hii ya baadhi ya wanawake kujifanya wajuaji na kudharau upeo wa mwanaume wa kugundua mambo huwa inanikera kuliko chochote! Bai ze wei misi yoo MJ1

well said kaka!!!
 
Mwanamke akinuna it means anataka dudu!
Gagu vipi?? Ujue wanawake wanatofautiana sana. Kuna wengine kweli akinuna anataka dudu, na hii hutokea mara nyingi kama mwanaume anagonga sana nje kwa hyo unakuta anajisahau kwa Mrs, mwisho wa siku mtoto wa watu anaishia kununa tu lol. Kumbuka hiyo ni kwa mwanamke muaminifu.
 
Napenda mwanamke likuwe mgomvi mgomvi hivi na mipasho, vimaneno kama hivi hapa chini yaani vinaniturn on kweli.

"una nini babu? kifua kikubwaaa, kunifikisha hunifikishi"
"Loh, Babu wee una pua kama umezaliwa na mjombaangu" ,
" Mmmh najuta kuolewa na mtu alokonfyuzi chawa na mifugo ya chakula"
"Mwanaume ukawe wewe? hebu kufa nirithi mali babu"
 
Wa uswahilini utawajua tu!
 
Wa uswahilini utawajua tu!
Hehehe hiyo kitu ina ladha yake bana asikwambie mtu. Sio umekaa na mdada unakuletea habari za sijui slaa kahutubia kigoma, osama kauliwa na video za porno. aaargh! napiga na chini within seconds.
hapa niko vere serious
 
Aisee ngoja niachane na haka kacheti nnakohangaikia maana naona kitaleta matatizo tu!
 
Aisee ngoja niachane na haka kacheti nnakohangaikia maana naona kitaleta matatizo tu!
Point sio kuwa msomi, point ni kwamba kwangu mimi mwanamke ananiput off akijifanya yuko serious sana. Mwanamke ni pambo bana, sasa habari za osama na chadema ziinapamba nini?

Conclusion: unaweza ukawa msomi na still ukawa na erotic lifestyle, at least to me.
 
Back
Top Bottom