Please! comment on; BIHAWANA high school.¤wakuu Jf¤

Dr.don

Member
Jan 16, 2012
8
1
Wakuu naomba msaada kuhusu shule ya bihawana sec skul.

Inapatikana wapi?
Mkoa,wilaya, kata na mtaa?
Je ipo near na makinda?
Sare wanazo vaa?
Walimu wapo lakini?
Shukrani!
 
ume sechi ukashindwa kuipata? au?

haya google sechi utaiona then wapigie simu labda watakueleza zaidi?

haya maswali yako kama hilo la mwisho ni nini kimekufanya uulize? haya nimeona contacts za shule online wapigie wakujibu.
 
Inapatikana Dodoma, njia ya kwenda Mazengo Sec (st John's univ), Ni kama km34 kutoka Dodoma Mjini. Kama unaenda kijiji cha Mpunguzi unaelekea kulia.
 
ume sechi ukashindwa kuipata? au?

haya google sechi utaiona then wapigie simu labda watakueleza zaidi?

haya maswali yako kama hilo la mwisho ni nini kimekufanya uulize? haya nimeona contacts za shule online wapigie wakujibu.

usilolijua, nikama usiku wa giza kaka! Na njiti ya kiberiti pekee haitoshi kutoa mwanga ktk giza nene.mjomba".|
 
Wakuu naomba msaada kuhusu shule ya bihawana sec skul.

Inapatikana wapi?
Mkoa,wilaya, kata na mtaa?
Je ipo near na makinda?
Sare wanazo vaa?
Walimu wapo lakini?
Shukrani!

Sihijui hii Shule ya Bihawa school? Au ile iliyopo karibia na barabara ya morogoro road?

Hongera kwa kufaulu.
 
Back
Top Bottom