Playstation 3

joshua2724

Member
Mar 11, 2012
17
2
Wakuu natafuta Playstation 3 haraka (fast cash) my budget is 550,000/= as soon as possible!! My contacts ( 0783 115545 ) ...specs (( 200GB HDD, two controllers, very mint condition))
 
mkuu mimi ninaweza kukutafutia lakini kwa bei yako ni ndogo sipo Tanzania nipo nje na huku unapata hiyo PlayStation model ya Sony ya Orignal ila bei uliyosema huwezi kupata hebu angalia hii kitu picha ya chini unaweza kunitumia Email yangu ni hii (fewgoodman@hotmail.com)


v2-58721.jpg
v2-PS3RES3MOVGUN.YT-2.jpg
v2-PS3RES3MOVGUN.YT.jpg



SONY PS3 320GB K CHASSIS EUR BLACK
 
sio kama sitaki umtafutie mkuu ila ukimnunulia mpya huko mamtoni, itakuwa na hizi firmware mpya ambazo huwezi jailbreak. sio kwamba mi napenda wizi au piracy ila watengenezaji hizi games hawapo considerate in their pricing especially kwa wafrika kama sisi. unaweza ukamtafutia used mkuu?
 
Mzizi mkavu , ps Vita ntapata kwa sh ngapi??
Hii sio Mali ya Mchina ni Orignal Sony inauzwa bei yake ni Dolla 1000. ukinitumia nitakutumia ukitaka maelezo ni PM au unitumie Email yangu ni hii (fewgoodman@hotmail.com)

Na PS Vita inauzwa Dola 700 pamoja na bei ya Utumaji hebu angalia hapo chini picha yake ni hii

v2-PS719181095.jpg
v2-58693.jpg


v2-PS719181095-2.jpg



SONY PLAYSTATION CONSOLE 3G VITA VITA PS 4 GB MEMORY CARD INCLUDED IN THE PRICE

... pacheto
 
Ps3 whole sale price ni usd 299 for 120 gb ps3 but hiyo ni bei ya jumla wanayouziwa wholesellers wakauze kwenye retails shop zao, so uki pluz transport cost, tax and profits za hao retailers mara nyingi ps3 ya 120gb inauzwa around 400 usd,,, I buy mine in sony shop dubai for 400 usd na nilikuwa nawabishia kwa nini wanauza hivyo wakati sony wamesema wanauza 299 ndo wakanipa maelezo, katika pita pita zangu sehemu nyingi dunian ps3 ya 120 gb ni 400 usd while ya 320 gb ni 470 usd.... Zaidi ya hapo ni ufisadi unafanyika kama bei za mliman city for super normal profits
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom