Playstation 3 zina soko huku Tanazania?

hivi kuna watu bado wanatumia PS2 ..????!! MKUU MI SIDHANI KAMA PS3 NZURI SABABU NYINGI ZINATAKA ORGINAL CD! ANZA BIASHARA YA KUUZA X BOX 360, NADHANI UTAPATA WATEJA ! NISHAAGIZA X BOX YANGU IJUMAA INAFIKA NI FIFA 13 KWENDA MBELE
 
kwenye xbox sina uhakika mkuu...ngoja nisikilize wadau wanasemaje.
 
tafuta pad ya xbox 360, ongeza RAM na ununue VGA card ya kishikaji uone utakuwa draw na PS3

Mkuu leh kati ya Xbox 360. PS2 na PS3 unadhani ipi nikileta itapata wateja zaidi kuliko zingine...na kwa sababu gani?
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kuleta na Nintendo Wii. They are fairly cheap. Na unaweza ukaleta ps3 used ili uziuze kwa reasonable price. pia ulete na cd zake uwe unawauzia watu ili iwe rahisi kuwauzia watu hzo consoles...used ps3 games are very cheap in US. Ps2 is very outdated na zimejaa huku bongo kibao.
 
Wabongo wanavyopenda vya rahisi sidhani WII Kama watanunua bcz jamaa anataka za biashara

Wii ndo rahisi kuliko ps2 sema wii wao hawajali graphics wao wanajali sana gameplay na kumsatisfy mnunuaji. Sasa bongo wao wanaangalia graphics kama una picha mbaya hawaji.

Sema wii ili uenjoy vizuri inabidi uwe na controller zake za wireless na virungu mpad mkubwa wa kukanyagia chini ambavyo ndo ghali. Controller hizo ndo unacheza game kama boxer, teniss, golf kwa reality
 
Sasa mkuu unanishauri nini? nilete PS2, PS3 , Xbox 360 au Wii?
 
Aisee me nashauri leta PS3 na PS2
•PS2 utapata wateja wengi kwasababu ya bei yake kua chini kidogo
•PS3 utapata wateja kutokana na wingi wa Games na unafuu wa bei za Games kuliko X360
•Wii hapa kwetu tunao Zijua ni wachache sana
 
Asante sana mkuu...Nitaufanyia kazi ushauri wako.
 
Aisee me nashauri leta PS3 na PS2
•PS2 utapata wateja wengi kwasababu ya bei yake kua chini kidogo
•PS3 utapata wateja kutokana na wingi wa Games na unafuu wa bei za Games kuliko X360
•Wii hapa kwetu tunao Zijua ni wachache sana

Kweli kabisa. Pia WII kuipata maeneo ya mikoani ni kasheshe
 
Sasa mkuu unanishauri nini? nilete PS2, PS3 , Xbox 360 au Wii?
Mkuu...., Price..., Price..., and then Price......

Haijalishi kama ni PS2, 3 au Xbox utofauti wa PS3/XBox 360 is a matter of preferences lakini zote ni nzuri na mara nyingi kampuni ikitoa games inatoa kwenye platforms zote.., kwamba ni console gani ilifanya vizuri ? (ni ukweli usiopingika kwamba PS2 was the most successfully console ya Sony) PS3 haijaweza kuuza kama PS2 na Microsoft Xbox hajaweza kushindana na Sony kwenye consoles.., tukija Nintendo Wii ilifanya vizuri sababu walikuja na technology yao ya Movement detectable pads..

Lakini tukija kwa issue ya soko ni Price (wabongo ni price sensitive) na mwisho wa siku hizi games zote ni nzuri (na game console its nothing without games) so if you can provide enough games with your consoles bottom line itakuwa ni price...

USHAURI
Just look at the margins (anything unachopanga kuuza zaidi ya laki sita kitamove very very slow) kwahio uwezo wako wa kuzipata consoles cheaper unapozipata wewe zilete no matter ni ps2, 3 au wii lakini hakikisha price yake ni cheaper than competition...

You are better off kama unaweza kupata P2 used / refurbished na ukaiuza kwa laki moja na nusu kuliko ulete brand new top of the range (xbox 360, Wii) ili uuze laki saba.., pia angalia margins before hand sababu ndugu zetu TRA unaweza ukawa kichwani mwako umepanga profit ya elfu hamsini kila game console, customs wakakulima ushuru wa bei ya juu ukaambulia faida ya elfu kumi (ndio hapo utajiuliza bora ningeuza karanga...)
 
Ha ha haaaa!! hapo kwenye TRA umenifurahisha sana mkuu...Hawa jamaa kweli huwa wananiudhi sana maana huwa wanalima ushuru hadi unahisi kuzimia...Ndio maana kila siku wabongo tunatafuta njia za uchochoroni za kuingiza bidhaa bila kulipa ushuru...BTW nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu...nitaufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom