sun wu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,020
- 1,418
mkuu jaribu kucheki amazon.com utakuta kuwa unaweza kupata ps3 kwa usd250 ya 160gb na 320gb kwa around 300usd pia hii offer inakuja na a free game kuhusu bei huwezi kujua mlengwa kazipata wapi labda kanunua kwenye duka ambalo zipo subsidized kuvutia wateja au ana mbinu zake za nyuma ya mlango anyway sababu swali ni soko la bongo important issue ni price watu wanapenda cheap things hivyo hata kama ni refurbished cheap watanunua kuliko brand new expensive hence ndio maana nikamshauri ps2 (ambazo.obvious zitakuwa refurbished) tena azichakachue kabisa aweke chip ili mtu aweze kucheza games za kuburnKaka kwa lak 4 haiwezekan, bei ambayo sony anamuuzia whole seller ps3 ya 160 gb ni usd 299 na 320gb kwa 399 hiyo ni bei ya jumla pitia wikipedia na hata sony playstation website utaona, madukan kote dunian ps3 haipungui ya 160gb haipungui usd 350,, mimi yangu nimenunua katika sony store mumbai kwa usd 350 na Inimeshafika china napo bei zinarange hivyo hivyo, muulize mtu yeyote aliyopo popote dunian ukipata ps3 mpya kwa lak 4 haiwezekani,,, sony walishaacha kutengeneza za 40,60 and 80gb toka 2010 pitia sony website, nowdays wanatengeneza za 160 na 320gb tu na bei zake kama hizo hapo juu, kwa lak 4 labda used but mpya haiwezekan