Platnum credit/bayport watapeliwa mamilion

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
Wametokea matapeli wamewaingilia hawa jamaa watoa mikopo ya chapchap na wakiwalenga walimu na kuwalamba mainterest ya ajabu.

Matapeli hawa hutafuta salary sleep za walimu hizi hupatikana hazina na kwa waajiri husika halafu jamaa wanafogi mpaka wanafungua eti acount wanachukua mkopo. From no where mwalimu akienda kuchukua mshahara anakuta anadaiwa wkt hakukopa.

Kaka yangu mwezi uliopita rafiki yake mwezi huu kapigwa, of coz mwisho wa siku hawa wakopeshaji ndo inakula kwao.

Hivi yale mainterest makubwa ndo kwa ajili ya hizi risk? ila ni wazi huu ni mtandao toka kwa wafanyakazi wa hizo kampuni nahisi inawezekana na huko hazina kuna watu wanakula deal la kutoa salary slips.

Aibu kuwasumbua walimu jamani.

kamshahara kenyewe kakuiba kako wapi?
 
platnam credit wamemliza jamaa yangu, kuliitajika mil. 2 tu za kufanya biashara jamaa akakopa kwenye karatas yake hawakuweka interest kiasi gani, baada ya sarary slip kuja wameandika mil 6, kushutuka kaenda kuomba amalize mkopo wakataa eti amalize mwaka baada ya mwaka na miezi mitatatu akomba tena wakamuandikia mahesabu yafuatayo.interest 2,310,534.54 out standing 2,116,144.28 chini ya barua kuna director joseph warioba salva rweyemamu na elias samwel. sijui ni kweli hawa ni wakrugenzi?
 
Back
Top Bottom