Wanajamii naomba msaada wenu.Maswala haya ya electronics sina ujuvi navyo.Nilienda dukani kununua hizi TV kubwa za flat.kwa kawaida naziitaga LCD ingawaje sijui maana yake.Kufika dukani nikaambiwa kuna Plasma na LCD za brand nyingi karibia zote zipo.Nikaulizwa nataka ipi.Nikashindwa kuchagua kwaiyo sikununua.Nauliza mwenye utaalam anielemishe na anishauri ipi ni nzuri kwa hapo nyumbani. Nimegoogle pia nikashindwa kuelewa.Asanteni