Plan D ya Ukombozi!

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers,
Viongozi wasiojali maslahi ya wanaowaongoza ndio waliosabobisha migawanyiko na matokeo yake kufikia huko na kuzaa makundi yote hapo chini.

Nimefuatilia kwa makini kwa nini makundi haya yalianza, ni michezo hiii hii ya kihuni tunayofanyiwa leo Tanzania, nchi yangu tulivu.

Makundi hayo yalijaribu njia ya mezani lakini yalipuuzwa. Si SI EM nawaomba sana sana, Tanzania hii inaweza kuongoza na wengine achieni nchi!!!!!!

HAMAS (PALESTINA)
LORDS RESISTANCE ARMY (UGANDA)
MUSLIM BROTHERHOOD(EQYPT)
INTERAHAMWE (RWANDA)
RENAMO (MOZAMBIQUE)
MAI MAI (DRC)
TALEBAN (AFGHANISTAN)
JANJAWID (SOMALIA)
TAMIR TIGERS (INDIA)
LIKUD (TURK)
ALQAEDA (AFGHANSTAN/PAKSTAN)
HAMAS (PALESTINA)

Totally fed up!!
 
Watanzania ni jamii ya watu wa ajabu sana ktk sayari hii!Pamoja na ugumu wa maisha,ufisadi na madudu yote wanayofanyiwa lakini bado wapo kimya,wanaishia kulalamikia vichochoroni na kwenye mitandao....HATA MUUMBA WETU ANATUSHANGAA!
 
Mkuu hiyo plan D yako inabidi iwe Z kabisa baada ya njia zote kukwama. Mie nadhani kwanza tuanze kueneza uasi dhidi ya ufisadi miongoni mwa raia wote wa JAMHURI yetu, kisha kuwafanya wananchi wawachukie na kuwazomea mafisadi popote walipo, then kwenye ballot box tuwaadhibu na ikishindikana, mapinduzi ya kiraia kama EGYPT na TUNISIA. Katika kipindi chote hiki tusikae kimya kuhusu katiba mpya, yaan uwe ndo wimbo kama ilivyokuwa kampeni ya kitaifa ya vita dhidi ya UKIMWI.
 
Back
Top Bottom