Plan 'b' ya mpiganaji zitto hii hapa

wananchi tuandamane wabunge wasipofikisha sahihi 70, tuone kama hapatachimbika
 
tanzania ni taifa langu,,,,nitalifia,,,baba na mama ndugu na jamaa,,,damu yangu itamwagika kishujaa,,,,nitaipigania nchi yangu niliyo apa kuilinda,,,,msilie,,,msilie,,,,nijapokufa mimi,,,mbegu mpya itachipua,,,,kaburi langu litapaliliwa,,,historia itanienzi,,,,nipeni mkuki wangu,,,mishale na uta ninavyo.....muda waukombozi,,,,natangulia,,,vijana shime,,,,freedom is coming,,,,go,go,go,zito,go,go,lema,go,go,mbowegogogo,gogo,,,go,dr,slaa,..,/lets go...all,.......tutaimba wimbo wa washindi,,,,,,,,,,shangilia ushindi unakuja,,,,,twenden askari,,,move,,,,,
 
Sahihi za wananchi ndizo tutazitafuta kama rais na serikali yake wanakuwa kichwa ngumu.....Dr. Kupeng'e ni Mtanzania au Mngazija? nimeuliza tu maana ana majibu ya wavuvi wa samaki za bahari kuu
 
Kuna utofauti usiopimika kati ya Anna na Sita,pmoja na riport ya CAG Anna kanyamaza bila ya kukoment chochote,kinachoshangaza ni waziri(mjinga) Lukuvi anadai aletewe ushahidi kwamba mawaziri ni wezi alitaka awafumaniwe na kimada wake?ana akili ya ajabu sana.Tuamke watz tupiganie mali zetu na damu ya ukombozi itayomwagika itakuwa laana kwa ANNA,PINDA na boss wao JK.
Vijana tena wa ccm wanasubiri tamko la pinda ndo tuanze maandamano ya kuikomboa tanzania toka kwa wanyanyaji wasio na huruma.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom