Uliza_Bei
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 3,216
- 988
Kuna njama za makusudi zinapangwa kuwanyima akina Zitto fursa ya kupeleka vote of no confidence hata kama sahihi 70 zitapatikana, na mdada wa mjengoni ameapa kusimama kinyume na hili na serikali inamsaidia kuepuka aibu hii ambayo Mkulu hataki sikia, anasema...'siwezi kushinikizwa mimi ndiye kiongozi'.
Upande wa pili umeapa kuomba sahihi za wananchi nje ya mjengo kushinikiza kuondolewa kwa mawaziri vinara wa ufisadi waliotajwa kukwamisha jitihada za kuendeleza nchi hii.
Wanasema 'rais hatuwezi kumuondoa atamaliza kipindi chake 2015 lakini akubali kubadili team yake ya viongozi kwa kuondoa wanaolalamikiwa' My take: Kushindwa kwa wabunge kutapelekea wananchi kukata tamaa na kukubali mambo yaende yalivyo. 'TANZANIA KWANZA' KWANZA'